Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

Nikikumbuka maneno ya mfanyabishara R., Kuhairishwa kwa hukumu na safari ya mama kule mbeya si dalili nzuri kabisa kwa upande wa Watanganyika juu ya maamuzi ya leo mahakamani,
ULITAKA NANENANE IBADIRISHWE TAREHE IWE TAREHE 20 ILIKUPISHA HUKUMU YA KESI? KWANINI USINGEMWAMBIA MWAMBUKUSI ASUBIRI NANENANE IPITE NDIYO A FUNGUE HIYO KESI ILI ISIINGILIANE NA NANENANE?
 
Hii kazi ya kudai haki ya mtanganyika iliyoporwa na wasaliti toka Zanzibar lazima iendelee, bila kujali outcome ya hiyo kesi, kwasababu watanganyika bandari zetu tulipewa na muumba, hatukupewa na majaji mahakamani.

Haina maana yoyote tuwaulize maswali waliozitoa bandari zetu kwa waarabu milele, washindwe kutujibu, kisha twende mahakamani kutafuta majibu, nao waje na nusu majibu, jopo la majaji linapotamka IGA imeingilia sheria za nchi, lakini sio batili, wanatakiwa wakapimwe akili kama zipo timamu.

Mihimili yote ya hili taifa imeamua kutusaliti, imeamua kufumbia macho ushetani wa Samia, sasa kinachofuata ni watanganyika wenyewe tuwaoneshe bandari zetu ni mali yetu, urithi toka kwa muumba wetu, wao ni wasimamizi wasio na huruma na vizazi vya hili taifa.
Fikra zako zitakumaliza kwa ubinafsi wako na ubaguzi
 
Upo wakati Majaji wanapaswa kujiuliza wanafanya kwa maslahi ya nani? Unapotoa hukumu mamia ya wananchi waliokaa kukusikiliza wakatoka wameinamisha kichwa maana yake ipo dosari kwenye hukumu au maamuzi uliyoyatoa. Chakujiuliza umetoa maamuzi kwa manufaa ya nani?

Kwamba bunge leo hata likiazimia kuwauza wananchi wote na ardhi yao Mahakama itabaki kusema imefungwa mikono? Mara ngapi Duniani maamuzi ya bunge yamekuwa yanapingwa? Je, kama maamuzi ya Bunge hayapingwi mahakamani kuna umuhimu gani wa kuwa na mhimili wa mahakama?
 
Wakristo chaliiiiii, mafisadi chaliiiiii, kunyaland chaliiiii, wanyarwanda chaliiiii, upinde chaliiiiiii

Imebaki story tu sasa na mikwara kibaoooooo
Inchi haiongozwi kishamba kama mnavyodhani

Wacheni watu wawaletee maendeleo ya kweli
 
Upo wakati Majaji wanapaswa kujiuliza wanafanya kwa maslahi ya nani? Unapotoa hukumu mamia ya wananchi waliokaa kukusikiliza wakatoka wameinamisha kichwa maana yake ipo dosari kwenye hukumu au maamuzi uliyoyatoa. Chakujiuliza umetoa maamuzi kwa manufaa ya nani?

Kwamba bunge leo hata likiazimia kuwauza wananchi wote na ardhi yao Mahakama itabaki kusema imefungwa mikono? Mara ngapi Duniani maamuzi ya bunge yamekuwa yanapingwa? Je, kama maamuzi ya Bunge hayapingwi mahakamani kuna umuhimu gani wa kuwa na mhimili wa mahakama?
Ilipofika ni MUNGU mwenyewe atunusuru...
 
hiyo ni shida ya kwenda mahakamani na matokeo yako kichwani sasa majaji wameona hakuna kifungu kilichokiuka katiba ulitaka wakufurahishe wewe mwenye mihemko yako ambaye hata hiyo IGA huijui ni kitu gani kwanza aliyekuambia kuwa kila mwananchi hajaridhika ni nani inamaana unawasemea na wenzio wewe kama nani? mbona shangwe lipo lakuitosha tu huku mtaani pole sana lakini usitusemee na sisi tuliofurahi
 
Hii ni habari njema kwa wazalendo wote. Iwe fundisho kwa Mwabukusi na wajinga wenzake. Ni kawaida kwa CHADEMA ikishindwa kesi kusema mahakama zinatumika... matusi ni sehemu ya sera za CHADEMA.
 
Mahakama kazi yake ni kutoa haki. Kama haiwezi kutoka haki hakuna umuhimu wa kuwa na mahakama kila mtu atajitafutia haki Kwa mbinu anazozijua.
 
haswaaaa hawapendi kushindwa wapinga maendeleo hao
 
hiyo ni shida ya kwenda mahakamani na matokeo yako kichwani sasa majaji wameona hakuna kifungu kilichokiuka katiba ulitaka wakufurahishe wewe mwenye mihemko yako ambaye hata hiyo IGA huijui ni kitu gani kwanza aliyekuambia kuwa kila mwananchi hajaridhika ni nani inamaana unawasemea na wenzio wewe kama nani? mbona shangwe lipo lakuitosha tu huku mtaani pole sana lakini usitusemee na sisi tuliofurahi
Umewasomaji majaji? Wamesema wapi hakuna vifungu vilivyokuwa?

Jitahidi kuwasoma vyema; kwa kukusaidia wamesema wamefungwa mikono kuhoji bunge na mapungufu ya sheria
 
Hii kauli inaonesha namna mioyo ya majaji wetu ilivyohangaika na hili jambo. Wakafika kiwango cha kuchoka, kushindwa kufanya lolote.
Mapunziko mema Majaji. Mmefanya mlichoweza katika ubinadamu wenu.
 
Mahakama kazi yake ni kutoa haki. Kama haiwezi kutoka haki hakuna umuhimu wa kuwa na mahakama kila mtu atajitafutia haki Kwa mbinu anazozijua.
kwahiyo uliona ili iwe oimetenda haki mwambukusi ashinde ? yeye ni nanio mpaka lazima ashinde yeye?
 
Back
Top Bottom