Laki 3 imeondoa uhai wa binadamShilingi ngapi?
Ila hii Mbeya nayo uwakala ni hatari sanaUjambazi umerudi rasmi😔
Laki 3 inamtoa mtu roho!Shilingi ngapi?
Mtu anapamba kujitafutia rizki yakeMfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wawili wameuawa kwa risasi wakijaribu kuwakimbia polisi
View attachment 3663511
Dah ata kama njaa, hii hapanaLaki 3 inamtoa mtu roho!
Mbeya elfu hamsini wanaua ni hatari hapo kuliko maelezo..Shilingi ngapi?