Mbeya: Majambazi wapora fedha na kumuua wakala

Mbeya: Majambazi wapora fedha na kumuua wakala

Hao ni vibaka, kwahiyo hapo watu watano mgao ni 60,000 na simu watauza bei ya hovyo, probably mgao wote Kwa ujumla Kwa Kila mtu hauzidi 100,000, kmmke hata kama ni njaa hiyo imezidi, siyo Kwa expense ya uhai.
 
Wameona policcm wako bize na wakosoaji wa chama sasa wameamua kufanya yao.
 
Hujaelezea kwa nini ni uongo
Lakini siku ambayo marehemu aliporwa laki 3 na kuuawa na siku ambayo hao majambazi wamekamatwa ni siku mbili tofauti
Mtiririko wa tukio upo hivi

1. Majambazi wamemvamia wakala, wakamchoma visu na kumuua, na kumuibia simu na shilingi laki 3 kisha kutoweka

2. Uchunguzi ukaanza kuwabaini wahusika

3. Washukiwa walipatikana mtaa wa Ituha Relini wakiwa wanavuta bhangi, na polisi ikabidi wawavamie ili kuwakamata, na ndio vurugu ilipotokea na kusababisha polisi kuua watu wawili kati ya hao watano

4. Watu watatu waliobaki bado wanashikiliwa na polisi. Bado hakuna ufumbuzi wa kina juu ya tukio zima, hao ni suspects, lazima uchunguzi uendelee ili kujiridhisha kama wamehusika au la

5. Kesi bado haijaisha, haijapata ufumbuzi wa kina, inaendelea na mpaka sasa ilipofikia tayari imeshaondoka na watu watatu
Unarudia tena kosa lile lile.

Huwezi kumuua mtu halafu ukamuibia simu.

Tunashindwa simple logic Waafrika masikini ya Mungu.
 
Back
Top Bottom