Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Unaiba laki 3Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wawili wameuawa kwa risasi wakijaribu kuwakimbia polisi
View attachment 3663511
Laki 3 unaua mtuuu??Ujambazi umerudi rasmi😔
Wastani wa 100k kwa kila roho moja. Inasikitisha sanaLaki tatu inaondoa uhai wa mtu, 300k!!!
Majambazi ya MAMA!Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wawili wameuawa kwa risasi wakijaribu kuwakimbia polisi
View attachment 3663511
Eti wao hawana hatia?Ujambazi umerudi Upya!
Ili kuonyesha yule bibi ameshindwa kazi aliyoipata kwa wizi wa kura!
Kwanini wezi wa kura hawa kupigwa risasi?
Ndio si aliwapa mafunzo! acha wayatumie vizuriDuh kikundi cha mbwa mwitu cha mwaipopo kimefungua matawi hadi Mbeya na kuanza kazi ya ugaidi kwa haraka sana 🙆
Mkuu hii ni hatari sana. Hafu wako watano. Inamaana 60k kila mtu.Mbeya elfu hamsini wanaua ni hatari hapo kuliko maelezo..
Gawanya kwa watano.300k inatoa uhai was mtu, kweli Umaskini ni LAANA.
😢😢😭😭
Wamekamatwa Ituha Relini wakiwa wanavuta bhangi, na ndio walikuwa na silaha za motoAisee ! ujambazi tena mbona tulikuwa tumeshasahau hii hali...walikuwa na vyuma vya moto? kama walikuwa na panga na visu hao ni vibaka tu wavuta shisha..jambazi ni rank ya juu..R.I.P Vaileth but naamini wahusika watakamatwa.
Mkuu Mbeya wanaua kwa kupora simu ya kitochi tena wanamsubiri getini kwake hao jamaa wao ni kupora na kuua ni Mkoa hatari sana huo.Mkuu hii ni hatari sana. Hafu wako watano. Inamaana 60k kila mtu.
Wale si wanajulikana mkuu unasemaje hawajulikani lakini baadae wao ndio wanatoa tamko la kumshikiria mtu.Mnao sema ujambazi umerudi mnanishangaza kwani hawakuwepo kwamba hao wasiojulikana wanaoteka watu sio majambazi?