tunahofu aisehhWale si wanajulikana mkuu unasemaje hawajulikani lakini baadae wao ndio wanatoa tamko la kumshikiria mtu.
Wamerudi tena ,wamerudi tena wateule wamerudi.Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wawili wameuawa kwa risasi wakijaribu kuwakimbia polisi
View attachment 3663511
Gawanya kwa watano.
Yes, Watanganyika ndivyo walivyo.. wanauwana kwa shilingi mia.Laki 3 imeondoa uhai wa binadam
Funzo gn?Ndio si aliwapa mafunzo! acha wayatumie vizuri
Kwani uliisha lini acheni unafiqUjambazi umerudi rasmi😔
Laki tatu. Unamtoa mtu roho kisa laki tatuShilingi ngapi?
We hukuwaona walivyojaa vifua ? Aya unadhani mwaipopo ana kipato gani cha kuwalipa maisha yao yote?Funzo gn?
Jambazi anaua kwa laki 3?Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wawili wameuawa kwa risasi wakijaribu kuwakimbia polisi
View attachment 3663511
Bado Sijaelewa point yakoWe hukuwaona walivyojaa vifua ? Aya unadhani mwaipopo ana kipato gani cha kuwalipa maisha yao yote?
Mia tatu elfu.Shilingi ngapi?
Wapuuzi sana hao.Wanashindwa nini kuwafuata CCM na kuwaomba mbinu rahisi za kuiba matrilioni ya Watanganyika!?Laki 3 unaua mtuuu??