Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Laki tatu tuShilingi ngapi?
Ushamba sasa huu, unatepeliwaje?Ila hii Mbeya nayo uwakala ni hatari sana
Mshikaji wangu ametapeliwa laki 5 mwezi wa 6 mwaka huu na wiki hiyohiyo aliyotapeliwa kuna wakala mwingine nae ameibiwa hela zote kwenye kibanda chake na watu wasiojulikana
Leo tena wakala mwingine kauawa. Wameona kuwatapeli haitoshi wameanza kuwaua sasa
Daah aisee upo sahihi lakini.Wapuuzi sana hao.Wanashindwa nini kuwafuata CCM na kuwaomba mbinu rahisi za kuiba matrilioni ya Watanganyika!?
Na miziki ya kila siku inawashawishi vijana kufanya Starehetamaa za utajiri wa haraka
Walidhani wanatakuta zaidi ya hiyo sasa ukute ameshapeleka bankLaki tatu inaondoa uhai wa mtu, 300k!!!
Ccm watasema ni ugomvi wa mapenziR.I.P ulikuwa unajipambania riziki mafedhuri wameondoka na roho yako, chako kweli ndo kinakutoa roho
Halafu laki 3.Naona vijana wameanza
Usishangae eti watu wanatumia dawa kutapeliwa ni wanacheza na akili yako sio kawaida kuna utapeli hata wewe unaweza usijui ilikuajeUshamba sasa huu, unatepeliwaje?
Lazima ujue ulikuwaje isipokuwa Tu hukutilia maananiUsishangae eti watu wanatumia dawa kutapeliwa ni wanacheza na akili yako sio kawaida kuna utapeli hata wewe unaweza usijui ilikuaje
Watu sio mkuu mbinu ni nyingi kuingizwa chakaLazima ujue ulikuwaje isipokuwa Tu hukutilia maanani
Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili za mkononi za Biashara yake ya miamala na majambazi watano na kati yao watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wawili wameuawa kwa risasi wakijaribu kuwakimbia polisi
View attachment 3663511
Hujaelezea kwa nini ni uongoAmeuawa na kuporwa laki 3. Marehemu kaporwa !
Na wawili wameuliwa wakijaribu kuwakimbia polisi. Ukiwakimbia polisi wanaku shuti mgongoni !
Taarifa ni utopolo mtupu na ni uongo mtupu!
Kukosa logic ndio chanzo cha u third world wa Waafrika.
Polisi anaongea utopolo na mwandishi anaripoti mashudu. Lijamii linabaki deaf dumb and blind.
Hata mifuko 50 cement hununuiWapuuzi sana hao.Wanashindwa nini kuwafuata CCM na kuwaomba mbinu rahisi za kuiba matrilioni ya Watanganyika!?
Unawazawadia hata mabati ishirini kwenye ujenzi wa choo unakuwa "my fulendi" wao.Hata mifuko 50 cement hununui
Masikitiko makubwa ndugu yangu 😌Unawazawadia hata mabati ishirini kwenye ujenzi wa choo unakuwa "my fulendi" wao.