Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

Screenshot_2024-02-20-14-02-29-1.png
 
Imeshuka bonge la mvua hila machief wa CCM balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mgao wa umeme utaisha kisa chadema wanaandamana ?
Au unataka tuchukue silaha za Jadi tuvamie TANESCO sisi nguvu yetu ni Maandamano na KURA Maandamano yakishindwa tunahamia kwenye Boxi la KURA.
 
Umeme utarekebishwa na tanesco hakuna mwenye uwezo wa kurekebisha umeme zaidi ya tanesco na wizara inayosimamia tanesco,maandamano kauli mbiu nk ni kupoyeza muda
 
Nakuhurumia sana jinsi kwashakoo ya Utotoni ilivyozimaliza IQ.
 
Andamana wewe mwenye IQ kubwa utapata umeme,nyumbani kwangu mimi mwenye IQ ndogo maji ya Mamlaka na umeme watanesco ni Reserve tu.IQ ndogo inenifikisha hapa.Pia nyumbani kwa mbowe ana enjoy kama mimi tu shida hauwafahamu viongozi wa chama chako.
 
Back
Top Bottom