imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wahi Hospitali ukapimwe Fikra.Andamana wewe mwenye IQ kubwa utapata umeme,nyumbani kwangu mimi mwenye IQ ndogo maji ya Mamlaka na umeme watanesco ni Reserve tu.IQ ndogo inenifikisha hapa.Pia nyumbani kwa mbowe ana enjoy kama mimi tu shida hauwafahamu viongozi wa chama chako.