Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

Mbeya: Mambo yameanza kuiva, Vituo vya kuanzia Maandamano vyaanza kufurika wananchi

Mbeya hatuna mbambamba[emoji91]
Ni vibe kama lote

Graduates tunaoteseka mtaani
Wajasiriamali wadogo tunaokatiliwa na umeme na bei ya sukari
Na maccm yote yamejaa
Tupo pamoja.
Twisile lelo twe bha Chadema
 
Yaani sisi tulipe kodi halafu maccm yazichote kwa wizi wakishirikiana na majizi ya Kiasia.Kwani pia kuna mtanzania anayelishwa na CCM?kama wanajilisha wenyewe maana yake wanafanya kazi kwa bidii lkn juhudi zao zinafifishwa na kundi dogo la maccm
 
Ruti ya Kutokea Mbalizi hii hapa

Screenshot_2024-02-20-13-04-24-1.png
Screenshot_2024-02-20-13-04-44-1.png
 
🔥🔥🔥
Mh Mbowe ni mwamba
Sijawahi ona kiongozi wa CCM anaandamana kwa miguu Tena Mlimani namna hii
 

Attachments

  • VID-20240220-WA0031.mp4
    3 MB
Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo.

Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni wengi mno na wengi wao hawana hata mabegi, hii ni ishara kwamba watu hao si wasafiri, Bali ifahamike kwamba UYOLE ni miongoni mwa vituo vitatu vilivyoainishwa na CHADEMA kuwa sehemu ya kuanzia maandamano , Wananchi wengi wamechagua kuanzia maandamano yao kwenye eneo hilo, hii ndio sababu wananchi wanaanza kujazana mapema , zipo tetesi kwamba Mbowe au Lissu wataanzia hapa.
Puppet ameanzia upande gan 🐒
 
Mimi sina madhara

Maandamano yamenipa vibe tu nikajikuta ntaandamana japo kwa umbali mfupi.

Tatizo la umeme na bei za sukari vinanigusa mimi mlalahoi.
vinakugiza vip akati online uko active 24/7🐒
 
Back
Top Bottom