Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Karibu sanaTupo live
Nimefurahi kumuona Mhe Mbowe liveView attachment 2909984View attachment 2909985View attachment 2909986
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaTupo live
Nimefurahi kumuona Mhe Mbowe liveView attachment 2909984View attachment 2909985View attachment 2909986
Mbeya hatuna mbambamba[emoji91]Karibu sana
Twisile lelo twe bha ChademaMbeya hatuna mbambamba[emoji91]
Ni vibe kama lote
Graduates tunaoteseka mtaani
Wajasiriamali wadogo tunaokatiliwa na umeme na bei ya sukari
Na maccm yote yamejaa
Tupo pamoja.
Ndagha🔥🔥Twisile lelo twe bha Chadema
niko kwenye kundi hili , nimevaa kofia nyeusi ya M4C na fulana nyekundu ya Katiba mpya , nimeshika bango la bei ya sukariNdagha🔥🔥
Wewe hapa sijui ni yupi
Ningefurahi sana kukuona Mkuu
Ngoja niangalie tenaniko kwenye kundi hili , nimevaa kofia nyeusi ya M4C na fulana nyekundu ya Katiba mpya , nimeshika bango la bei ya sukari
View attachment 2910022
Puppet ameanzia upande gan 🐒Inasemekana eneo la Uyole mara zote nyakati za usiku huwa na watu wengi, hii ni kutokana na eneo hilo kuwa njia panda ambayo Magari mengi hupita, Magari ya kwenda Malawi na yale ya kwenda zambia yote hupita hapo.
Lakini umati unaokusanyika usiku huu kwenye eneo hilo si wa kawaida , watu ni wengi mno na wengi wao hawana hata mabegi, hii ni ishara kwamba watu hao si wasafiri, Bali ifahamike kwamba UYOLE ni miongoni mwa vituo vitatu vilivyoainishwa na CHADEMA kuwa sehemu ya kuanzia maandamano , Wananchi wengi wamechagua kuanzia maandamano yao kwenye eneo hilo, hii ndio sababu wananchi wanaanza kujazana mapema , zipo tetesi kwamba Mbowe au Lissu wataanzia hapa.
puppet yupo apo pia au pande ingine 🐒🔥🔥🔥
Mh Mbowe ni mwamba
Sijawahi ona kiongozi wa CCM anaandamana kwa miguu Tena Mlimani namna hii
Mimi sina madharapuppet yupo apo pia au pande ingine 🐒
vinakugiza vip akati online uko active 24/7🐒Mimi sina madhara
Maandamano yamenipa vibe tu nikajikuta ntaandamana japo kwa umbali mfupi.
Tatizo la umeme na bei za sukari vinanigusa mimi mlalahoi.
wewe uko wapi ?Hii ni wapi
Mbagalawewe uko wapi ?
Basi siku njemaMbagala