othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Hakumzidi jiwe nae alikuwa na lugha Kali zisizo za ki urais, " bakini na mavi yenu nyumbani"Ila yule Mdude ana lugha kali sana, inabidi ajifunze au watu wa karibu yake wamuelekeze namna ya kukosoa kwa staha...
Bahati kama hizi huwa haziji maea mbili...
Naomba msamaha! Hastahili kujibiwa huyu mamluki feki! Labda ni Wakidadavuliwa huyu!Kwanini unahangaika na huyo mamluki duni ?
😆😆😆Naomba msamaha! Hastahili kujibiwa huyu mamluki feki! Labda ni Wakidadavuliwa huyu!
Mimi sio mwanasheria ila nacho jua legal institutions/system za TZ ziko weak sana na ndo kelele za wengi.Naomba kufahamu sheria za tz zinasemaje kuhusu malicious prosecution kama mdude anaweza kuwashitaki RPC wa mbeya kwa kumtengenezea mashtaka yasiyo na mashiko
Unga walimpandikizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na akiona hata unga wa dona tu anapita mbali km 10
Kwa hawakumshtaki kwa kosa la matusi hadi wakaamua kumbambikia kesi???wanafiki sana chadema ushaona Mbowe anatukana? lakini yeye matusi mpaka anatia kinyaa
Bila kumsahau huyu delilaNatoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani
Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , DPP aliyeng'olewa Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Naomba kufahamu sheria za tz zinasemaje kuhusu malicious prosecution kama mdude anaweza kuwashitaki RPC wa mbeya kwa kumtengenezea mashtaka yasiyo na mashiko
Huyu ashughulikiwe popote alipoBila kumsahau huyu delilaView attachment 1834173
probably ni wengi kuliko tunavyodhani. kuna haja ya kuwa ta taasis inayowachunguza polisi.. kuwa limit wasi commit crimes for interest za mtu fulani.Unga walimpandikizia
Je ni watu wangapi wamepandikiziwa kesi na polisi?
Hilo la kuzidiwa umri ndio chaka linalotumiwa na wazazi na viongozi wa kiafrica kushindwa kuwajibika kwa kisingizio kuwa 'mkubwa hakosei'Mkuu kumbuka hapa hatupigani na wakoloni,hapa ni sisi kwa sisi.
Kijana wa kitanzania lazima awe na adabu na hesima na kauli ambazo sio za kifedhuli kwa waliomzidi umri hata cheo pia sisemi mtu ambaye amekusanya hayo yote mawili
Ameachiwa lkn chamoto amekipata..
Tuliza domo lako kwanza wewe.Atulize hilo domo lake sasa..Maana kaka ana matusi huyu hatari,hana heshima kabsa.
Chawa katika ubora wako,Nawaambia tena kamwambie huyo role model wako atulize lile domo lake chafu kama shimo la choo.La sivyo yatamkuta makubwa next time.Pumbavu wewe.
Tuliza domo lako kwanza wewe.
Ndio nyie mnaharibu taswira ya CDM ?Pumbavu wewe.
Tuliza domo lako kwanza wewe.
Hata makaburu walijiaminisha hivyo ndo mana wakaijenga south kama kwao! Leo wapo kama Raiya wa kawaida tu.CCM miaka 1000
Hata makaburu walijiaminisha hivyo ndo mana wakaijenga south kama kwao! Leo wapo kama Raiya wa kawaida tu.