Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani

Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , DPP aliyeng'olewa Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Bila kumsahau huyu delila
JamiiForums-628070551.jpg
 
Naomba kufahamu sheria za tz zinasemaje kuhusu malicious prosecution kama mdude anaweza kuwashitaki RPC wa mbeya kwa kumtengenezea mashtaka yasiyo na mashiko

..mdude tayari alikuwa ktk process ya kuwashitaki maofisa wa polisi ambao anadai walimtesa alipokuwa mahabusu.
 
Unga walimpandikizia

Je ni watu wangapi wamepandikiziwa kesi na polisi?
probably ni wengi kuliko tunavyodhani. kuna haja ya kuwa ta taasis inayowachunguza polisi.. kuwa limit wasi commit crimes for interest za mtu fulani.
 
Mkuu kumbuka hapa hatupigani na wakoloni,hapa ni sisi kwa sisi.

Kijana wa kitanzania lazima awe na adabu na hesima na kauli ambazo sio za kifedhuli kwa waliomzidi umri hata cheo pia sisemi mtu ambaye amekusanya hayo yote mawili
Hilo la kuzidiwa umri ndio chaka linalotumiwa na wazazi na viongozi wa kiafrica kushindwa kuwajibika kwa kisingizio kuwa 'mkubwa hakosei'
 
Atulize hilo domo lake sasa..Maana kaka ana matusi huyu hatari,hana heshima kabsa.
 
Kitu muhimu kuliko vyote ni kujenga taifa lenye haki kwa wote kwa namna yoyote ile inayowezekana.
Hii inawezekana kwa kuwatambua wote wanaotumia madaraka yao kwa nia ovu ya kuwatesa wengine, kuwataja kwa uma na kutoa elimu ya fundisho kwa wengine kutumia mifano yao.
Kusema kwa ujumla kwamba ni serikali au Rais kunawapa waovu kichaka cha kujificha.
 
Hata makaburu walijiaminisha hivyo ndo mana wakaijenga south kama kwao! Leo wapo kama Raiya wa kawaida tu.

Kwa hili huwezilinganisha SA na TZ ndugu😃😃

Huku kwetu wanaCCM wanasema kidumu chama cha mapinduzi na mi10 tena kwa SSH, na wapinzani wanaimba zidumu fikra za Ironlady Samia

CCM miaka 1000 tena
 
Back
Top Bottom