Utasubiri sanaNatoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani
Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , DPP aliyeng'olewa Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Alimtukana mumeo? Weka ushahidi hapaKwa hiyo mdude hata kufa?
Usijaribu kupotosha mkuu!
Mdude hatatukana mtu tena
Mkubwa hatukanwi na wala havunjiwi heshima bali anakosolewakistaarabu.Hilo la kuzidiwa umri ndio chaka linalotumiwa na wazazi na viongozi wa kiafrica kushindwa kuwajibika kwa kisingizio kuwa 'mkubwa hakosei'
Na moto wa milele umuunguze mwendazakeHizi ni zama mpya za kuelekea haki, usawa na maendeleo.
Adumu mama Samia.
Unashida wewe..umesahau zile kura za mabegi ya TISS?Kwa hili huwezilinganisha SA na TZ ndugu😃😃
Huku kwetu wanaCCM wanasema kidumu chama cha mapinduzi na mi10 tena kwa SSH, na wapinzani wanaimba zidumu fikra za Ironlady Samia
CCM miaka 1000 tena
Unashida wewe..umesahau zile kura za mabegi ya TISS?
Hujakumbuka na Mangula alivyowekewe sumu?Nimekumbuka na yale maandamano ya kuwanunulia vijana gongo aliyowaelekeza Tundu pia
Hapana. Nimekumbuka Mbowe alivyotafuna michango ya wabunge wa chadema😂😂😂Hujakumbuka na Mangula alivyowekewe sumu?
Na wale wabunge walionunuliwa kina waitara na leo ni mawazir. Unajiita chama utawala wakati hata viongozi unanunua?????
Akili ndogo zinajadili watu.akili kubwa zinajadili masuala/issues. Wewe una akili ndogo.Hapana. Nimekumbuka Mbowe alivyotafuna michango ya wabunge wa chadema😂😂😂
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Akili ndogo zinajadili watu.akili kubwa zinajadili masuala/issues. Wewe una akili ndogo.
Ubarikiwe
Meko alikuwa mtu wa roho ya kipekee sana aliweza kutumia madaraka yake vibaya mno na akawatengeneza waimba kwaya wanaomsifia kama vichaa.Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.
Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi
Unahamu na ub.... ookutukana ni sehemu yaklukuonyesha ni kiasi gani huna hoja kenge wewe
mbona wewe kazi kunya tu na bado unategemewa na wazazi wako!!Hivi shetani Magufuli alitufanyia Nini Watanzania mpaka akatutawala?
Ashukuriwe Mungu aliyemchoropoa pumzi
hata mbinguni hali hiyo ipo,kwahiyo wamejihakikishia ulaji kwa asilia 100% milele.Sidhani kama wapinzani hususan Lisu kama wanataka uraisi, ukiwepo utawala wenye kufuata misingi ya sheria na haki nadhani kila mtu atatafuta shughuli ya kufanya.
hayo makosa huwa hayana dhamana,na nia huwa ni kukukomesha.Kama kosa lake ni hili, mbona alishtakiwa kwa kosa jingine kabisa? Eti la kukutwa na madawa ya kulevya, mara kuhujumu uchumi.....!!!!
humpunguzii kitu,zaidi ya kijiumiza tu.huyu ni wale wachache waliopiganiwa. vipi kundi lingine lisilojulikana. Ndio maana namchukia Magu mpaka kesho
taasisi hiyo iwe ya malaika kabisa.probably ni wengi kuliko tunavyodhani. kuna haja ya kuwa ta taasis inayowachunguza polisi.. kuwa limit wasi commit crimes for interest za mtu fulani.
acha ukundumayai mkuu.Alimtukana mumeo? Weka ushahidi hapa