Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya


ahahaha wakamate wewe sasa
 
Mungu mkubwa. Ndio maana tunasema utawala wa shetani uliokuwa umekomaa sasa unaanguka kwa kishindo. Shame to you RPC wa Songwe, Chalamila na kundi lako la kihuni. Upanga wa moto wa Mwenyezi Mungu uwaandame nyie na familia zenu hadi kiyama.
 
Kwa kweli wakamatwe kwa sababu hukumu imeeleza wazi kwamba inaelekea madawa ya kulevya yaliwrkwa na polisi wakati wa upekuzi au kabla ya upekuzi, na pia katika upekuzi utaratibu haukufatwa na katika kumkamata utaratibu haukufatwa

Wawajibishwa na mdudw alipwe fidia, amepitia mateso, amepotoze muda mwibgi, familia yake imeteseka, malengo take tamekatishwa
 
Wakati mwingine huwa najiuliza hata kama ni kuamriwa na mkubwa ndio ukapige na kutesa mtu asiye na hatia kisa siasa. Roho hizi ni za kichui zililelewa na nani taifa hili? Nafikiri tunahitaji baraza la kisuruhishi la kitaifa ili maumivu waliopitia Watz yafutike. Tofauti na hapo nafikiri si ajabu siku za usoni kukawa na visasi vya ajabu ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…