Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Ongea kama mwanaume wewe. We Unadhani kila mtu ni muoga kama wewe matak........o.
 
Atakuwa na adabu sasa!

Hutaona tena yale matusi aliyokuwa anataukana!

Kwa muda aliaokaa ameshanyooka kama rula
 
Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani

Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Wiki iliyopita ilikuwa afungwe maisha hakimu akasanda, asante sn MUNGU wetu
 
Write your reply...SAMIA ANAZIDI KUCHAFUA LEGACY YA MAGUFULI ILI KUWAFURAHISHA MAJAMBAZI CHADEMA
Kwa hio mlitengeneza kesi feki kama mia tano hivi kuwakomoa CHADEMA na sio ku deal na wavunja sheria in GENERAL?
 
dah, sasa gharama ya kupoteza muda wa mtu kipindi chote hicho inalipwa?... ni wakati sasa kwa jeshi la polisi kutokamata mpaka liwe na ushahidi wa kutosha kumtia mtu hatiani... hawa watu tunaowaweka ndani miaka bila ushahidi wa familia na ndugu wanaowategemea...

Angalizo: pamoja huyu kijana ameachiwa ni wakati pia wa watu wazima wenye hekima wamfunde namna nzuri ya kuendesha siasa na kuheshimu mamlaka na kama kuikosoa au kuishambulia basi iwe kwa staha na sio matusi na ujinga mwingi kwa watu ambao ni kama baba au mama zako...
 
Kwa hiyo umaarufu wa huyu bwana umetokana na "kukosoa" na si kufanya jambo lolote lenye maana au maendeleo kwenye jamii inayomzunguka?
 
Sasa kijana aachane na harakati zisizo na mashiko inayoumia ni familia yake.
 
Tuweke mkaa wa mawe juu yake na kuuwasha Moto
Nadhani tukachape kaburi, kuonesha hisia ama? 🤣 🤣 🤣. Kwa kinachoendelea, sishangai kusikia kwamba mama alitaka kujiuzulu at one point kwenye utawala uliofitinika.
 
Back
Top Bottom