Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani

Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Umeanza vizuri umemalizia kama Instagram,yaani watu wajichukulie sheria mkononi kisa Mdude? Kweli kabisa unasema hayo ukimaanisha au wewe unao watu ambao tayari umewa tambua kama watesi wake? Kama jibu ni ndio,si uende mahakamani sasa
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Naona umebadili gia angani baada ya kustuka kuwa marehemu hatafufuka tena. Atawale mpaka mataga akili ziwakae sawa
 
Umoja ni kitu muhimu sana na kipekee niwapongeze Bavicha na Chadema kwa ujumla kwa namna walivyompigania Mdude Nyagali mwanzo mwisho na leo yuko huru.

Nategemea UVCCM na CCM kwa ujumla mtaiga " roho ya Upendo " kutoka kwa wenzenu wa Chadema ili mumpiganie komredi Ole Sabaya aliyeko magereza au Lupango.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Siku 100 za mama anaupiga mwingi balaa kimya kimya.Haki huinua Taifa.

Binafsi namshukuru Mungu Kwa kushusha gadhabu yake dhidi ya manyang'au yaliyokuwa yanaumiza Wasio na hatia, kuua, kupora, na kutweza.

Malaika wa zamu nakusihi ongeza moto hapo kwenye hiyo chemba ya yule belizebul
 
Awamu zote zinazoongozwa na Waislamu zinakuaga saafi Sana na Zina furaha Sana sijajua kwa Nini yaaani. Kwani huko makanisani huwa mnafundishwa kitu gani
Peleka udini wako kwa mumeo huko huko chumbani kwenu
 
Baada ya Mdude kuachiwa

 
wanafiki sana chadema ushaona mbowe anatukana? lakini yeye matusi mpaka anatia kinyaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi akipitia yale matusi kwenye account yake atakuwa anajuta sana!

Sasa hivi ni full adabu
 
Back
Top Bottom