Umoja ni kitu muhimu sana na kipekee niwapongeze Bavicha na Chadema kwa ujumla kwa namna walivyompigania Mdude Nyagali mwanzo mwisho na leo yuko huru.
Nategemea UVCCM na CCM kwa ujumla mtaiga " roho ya Upendo " kutoka kwa wenzenu wa Chadema ili mumpiganie komredi Ole Sabaya aliyeko magereza au Lupango.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Unaonaje wakiiga roho hiyo ya upendo kuipigania nchi dhidi ya wadhalimu wote?