Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Dada naskia umepata mp matundu yote mawili baada ya taarifa ya mdude
1624876870486.png
 
Asante Mungu kwa kutenda haki,hii ni aibu nyingine kwa mwendazake Jiwe na wafuasi wake,ikiwezekana kaburi lake likafungwe pingu zibakie hapo hapo
 
Atakuwa na adabu sasa!

Hutaona tena yale matusi aliyokuwa anataukana!

Kwa muda aliaokaa ameshanyooka kama rula
Kwani alishtakiwa kwa kosa la matusi au madawa ya kulevya?
 
Hivi shetani Magufuli alitufanyia Nini Watanzania mpaka akatutawala?
Ashukuriwe Mungu aliyemchoropoa pumzi
 
Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani

Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Serekali ya kihuni hii
 
Ushahidi umekosekana vipi na polisi walidai wamemkamata live na kitu cha kwa Pele, au sasa ndiyo wamepima wakagundua ni glucose?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom