Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingine tunanitakia wenyewe hakuna anayefurahia matatizo ya mwingine msiba wa kujitakia hauna kilio...Msifurahie mateso ya Binadamu mwenzenu.
Basi sawa.Yote kwa pamoja
Sijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameniLeo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya...
Sidhani kama wapinzani hususan Lisu kama wanataka uraisi, ukiwepo utawala wenye kufuata misingi ya sheria na haki nadhani kila mtu atatafuta shughuli ya kufanya.
Joni Sisi tunataraji kuona haki ikitendeka na sii upendeleo, acha saa baya aoshwe na mahakama na sii uvvccm. Mdude kapata uhuru kusibitisha Mana ya kubambikia watu kesi.Umoja ni kitu muhimu sana na kipekee niwapongeze Bavicha na Chadema kwa ujumla kwa namna walivyompigania Mdude Nyagali mwanzo mwisho na leo yuko huru...
Genge la wasiojulikana lingesha pita nao na wengeibujia moja ya magereza yaliyopo nchini.Sijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameni
masikini mataga pori roho imewauwa mmeumbuka 🤣 🤣 🤣Mdude kashatumia adhabu yake!
Na sasa hivi atakuwa full adabu kwa mamlaka
ohh msikini mataga pori mnatia huruma balaaa 🤣 🤣 🤣CCM mbele kwa mbele 🎵🎶🎤🎼🎹🥁
CCM kuna hazina ya viongozi na kila awamu inazidi kukiimarisha chama
CCM miaka 1000
Samia Suluhu Hassan mi15 tena
Mungu ibariki Tanzania
Sitaki lakini najikuta tu nawaza, kama ingekua wakati uleeeeee hao jamaa wa pembeni wenye Tshirts nyekundu kama wangetoka humo ndani salama kweli?Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya
Jiweeeeeeeeeeee sikia kilio Cha watu wanavyokulaani. Uungue na majivu yako tuyakojoleeSijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameni
Hahaasio kwamba mm nimetimdua ww na mm yako....Kamuulize mama yako nilivyomtindua Jana
We dogo bure kabisaWewe ni geniuos na kama uko CCM basi nimekupensa bure.
Hata mimi siipendi CCM kwa madudu yake, lakini ikitokea inafuata haki na tunaishi kwa haki tupu, hatuhitaji upinzani wowote.
Magufuli alikuwa na moyo uliojaa chuki sana. Sijui aliishije na chuki kubwa namna hiyoMdude hutamuona akitukana watu hovyo tena!
.
Hata wewe hapa ukileta lugha zako za kikwenu lazima mods wakushughulikie