Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya...
Sijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameni
 
Wewe ni geniuos na kama uko CCM basi nimekupensa bure.

Hata mimi siipendi CCM kwa madudu yake, lakini ikitokea inafuata haki na tunaishi kwa haki tupu, hatuhitaji upinzani wowote.

Sidhani kama wapinzani hususan Lisu kama wanataka uraisi, ukiwepo utawala wenye kufuata misingi ya sheria na haki nadhani kila mtu atatafuta shughuli ya kufanya.
 
Umoja ni kitu muhimu sana na kipekee niwapongeze Bavicha na Chadema kwa ujumla kwa namna walivyompigania Mdude Nyagali mwanzo mwisho na leo yuko huru...
Joni Sisi tunataraji kuona haki ikitendeka na sii upendeleo, acha saa baya aoshwe na mahakama na sii uvvccm. Mdude kapata uhuru kusibitisha Mana ya kubambikia watu kesi.
 
Kesi ilikua staged ! Ni punguani tu ndio angeamini huyo dogo alikua cartel wa madawa....ni punguani tu ndio ataamini kesi ilikua wazi kabisa imejaa political issues
 
Sijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameni
Genge la wasiojulikana lingesha pita nao na wengeibujia moja ya magereza yaliyopo nchini.
 
CCM mbele kwa mbele 🎵🎶🎤🎼🎹🥁
CCM kuna hazina ya viongozi na kila awamu inazidi kukiimarisha chama
CCM miaka 1000
Samia Suluhu Hassan mi15 tena

Mungu ibariki Tanzania
ohh msikini mataga pori mnatia huruma balaaa 🤣 🤣 🤣
 
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya
Sitaki lakini najikuta tu nawaza, kama ingekua wakati uleeeeee hao jamaa wa pembeni wenye Tshirts nyekundu kama wangetoka humo ndani salama kweli?
[/QUOTE]
 
Sijui kwanini ila nawaza tu, hivi ingekua siku zileeee hao jamaa pembeni wenye Tshirts nyekundu zenye maandishi ya KAT.... wangetoka humo salama kweli? Tumetoka mbali jameni
Jiweeeeeeeeeeee sikia kilio Cha watu wanavyokulaani. Uungue na majivu yako tuyakojolee
 
Wewe ni geniuos na kama uko CCM basi nimekupensa bure.

Hata mimi siipendi CCM kwa madudu yake, lakini ikitokea inafuata haki na tunaishi kwa haki tupu, hatuhitaji upinzani wowote.
We dogo bure kabisa
 
#44

Mama ataishi miaka mingi sana kama wanavyoishi watawala wa kiislamu, baada ya kuwatendea watu utu wa kuwaunganisha na familia zao baada ya kutenganisha na Utawala dhalimu kwa kuwabambika kesi wakakaa ndani bila ushahidi miaka huku familia zao zikiteseka kwa uchungu na sonona.
Kama alivyorejesha furaha ya familia na ndivyo heri zake zitakavyokuwa tele milele duniani na mbinguni.
Kumi tena kwa mama
 
Mdude hutamuona akitukana watu hovyo tena!
.

Hata wewe hapa ukileta lugha zako za kikwenu lazima mods wakushughulikie
Magufuli alikuwa na moyo uliojaa chuki sana. Sijui aliishije na chuki kubwa namna hiyo
 
Back
Top Bottom