Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.

Pia soma:

1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri Mkutano wa CHADEMA na Wanahabari, Mdude Nyagali awadai Polisi fidia ya Mil 500 - JamiiForums

2). Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika - JamiiForums

3). Mdude Nyagali kufungua kesi mahakamani kwa hati ya dharura kuhusu pesa za wahanga tetemeko Kagera - JamiiForums

4). John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) - JamiiForums

5). Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4 - JamiiForums

6). Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii - JamiiForums


======

UPDATES: 28|06|2021

=======

Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemwachia huru Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyangali ambaye alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya kusafirisha #DawaZaKulevya Mdude amekutwa hana hatia katika kesi hiyo.

Zaidi, soma:

1). Breaking News: - Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya
photo_2020-05-13_16-39-36.jpg


 
#HABARI Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.

Source EATV
Makamanda kampiganieni, kamanda wenu.

Eti nabakia Africa.
 
Kada wa CHADEMA anayejulikana kama Mdude Nyagali amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine.

Nyagali.jpg
 
Back
Top Bottom