Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mdude anapitia njia ya aliyopita Kabendera,mpk kufika mwisho lazima machozi na makamasi ya mchuruzike.
Akifika ukomo wa safari makeke ya mdude yatapungua kama ya Kabendera.
Pole mdude, kama huna Mungu tafuta miungu ikusaidie polepole.
 
Hapa ndo napochukia kujiingiza kwenye mapambano ya siasa...unaiacha familia yako inahangaika wew unaenda kunyea debe...kwani angetulia tu angepungukiwa nini?
Mkuu siasa ni wito kama wito mwingine...ukiona Tanzania tunatabasamu muda huu basi elewa kuna watu waliumia...na wengine kufa kabisa.

Ukiona sehemu kuna furaha, amani, ugali wa kutosha basi ujue kuna watu walihaso, walijitoa...hii ni principal hata kwenye ngazi ya familia ina apply...
 
Back
Top Bottom