Acha ujinga wewe
Selemani Nchambi na Mdude nani muhujumuUmesahau mwenyekiti wako kawauzia sana watoto wetu pale kwenye Disco lake bilicanas
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani walio mfungulia mashitaka hayo wana taratibu za nchi wanafuata? Muda fulani tunalitengenezea Taifa laana zisizo na maana.Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Huwezi kufananisha kanu na CCM kanu mwenzake tanu sema Ni mtoto hujui siasa za Tanzania/East AfricaKANU iko wapi?!
woteSelemani Nchambi na Mdude nani muhujumu
Inawezekana hata yule mbunge kutoka CCM amebambikiwa..Duh! Amebambikiwa dogo! Jamaa wana roho kutu sana. Huyu naye walikuwa wamuuwe kama Ben Saanane
Huwezi kufananisha kanu na CCM kanu mwenzake tanu sema Ni mtoto hujui siasa za Tanzania/East Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaHuwezi kufananisha kanu na CCM kanu mwenzake tanu sema Ni mtoto hujui siasa za Tanzania/East Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazijua gram 24?Hiyo ni pafu moja kwa sisi watumiaji! Kwa kiwango hicho ni wazi huyo mtu ni mtumiaji na si muuzaji!ndg, kwani ni nani alikuambia mwanasiasa hawezi kuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya au unaishi kwa kukariri? badili mtazamo hawa wanasiasa pia hawaminiki wana pande mbili.
Wale si wanajiamini chama dola? Wameamuwa tu siyo kwamba walikuwa hawajui.Inawezekana hata yule mbunge kutoka CCM amebambikiwa..
Sasa mtu ameshikwa na nyara za serikali na mwingine kabambikiwa heroine na serikali daah!!wote
Amekamatwa na magufuli ?Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
DuhMagufuli unazidi kujiwekea maadui shame on you man.
Kama unajua umejiwekea mazingira hatarishi we anza kujiandaa tu mzee.
basi mzee baba hapo una komenti huku unakula popcorn[emoji23] afu jamaa mdude now wameambiwa walaleOur Mandela, stay strong. Hii haitafanya kunyamaza. Aliyeumbiwa utetezi huwa hatetereki na misukosuko.
Pole our Madiba. Tupo pamoja ktk maumivu yako. Mungu akulinde dhidi ya hii "mikorona" kandamizi