Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Either way, kwa nchi ya sasa ya demokrasia na uhuru wa kujieleza ni aibu kupita maelezo kuonea powerless activist kama Mdude and others!

Ni kukosa kazi na kutokuelewa kazi za kufanya na zinazokuhusu

Ni wanajipaka matope wao wenyewe!

Unazuga kwa kumuwekea eti heroine,people know this nonsense and yall are stupid beyond imagination!

Foolish people shoot themselves in their feet!

Mdude ni threat kwa hii regime kiasi cha kufanya maigizo ya hovyo namna hii?

Utoto utoto wa ajabu sana huu!
 
Hapo mashehe ubwabwa na wapenda sadaka ni shangwe tu huko kwenye misikiti aliyojenga Magufuli na Bashite.

Ni Makofi "Pwapwapwapwa"
 
ndg, kwani ni nani alikuambia mwanasiasa hawezi kuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya au unaishi kwa kukariri? badili mtazamo hawa wanasiasa pia hawaminiki wana pande mbili.
Unazijua gram 24?Hiyo ni pafu moja kwa sisi watumiaji! Kwa kiwango hicho ni wazi huyo mtu ni mtumiaji na si muuzaji!

Huwezi kuwa muuzaji halafu ukakaa na gram 24!So huyo ni muathirika na hununua ili atumie,ni ajabu muathirika unamfungulia kesi ya uhujumu uchumi! What a shame! Ukiwa na akili isiyopelekeshwa na mahaba ya kisiasa utanielewa!
 
Inawezekana hata yule mbunge kutoka CCM amebambikiwa..
Wale si wanajiamini chama dola? Wameamuwa tu siyo kwamba walikuwa hawajui.

Huyu dogo kila siku anwindwa ndo ajilipuwe? Siyo mijnga kiasi hicho.

Halafu issue za kubambikiwa zipo sana, labda uwe fisadi.
 
Our Mandela, stay strong. Hii haitafanya kunyamaza. Aliyeumbiwa utetezi huwa hatetereki na misukosuko.

Pole our Madiba. Tupo pamoja ktk maumivu yako. Mungu akulinde dhidi ya hii "mikorona" kandamizi
basi mzee baba hapo una komenti huku unakula popcorn[emoji23] afu jamaa mdude now wameambiwa walale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom