kwahiyo unashauri afunguliwe mshitakaa ya aina ngani?Unazijua gram 24?Hiyo ni pafu moja kwa sisi watumiaji!Kwa kiwango hicho ni wazi huyo mtu ni mtumiaji na si muuzaji!Huwezi kuwa muuzaji halafu ukakaa na gram 24!So huyo ni muathirika na hununua ili atumie,ni ajabu muathirika unamfungulia kesi ya uhujumu uchumi!What a shame!Ukiwa na akili isiyopelekeshwa na mahaba ya kisiasa utanielewa!
Daah kwahiyo ushamuhukumu tayari kuwa kakutwa na hatia?Polen Sana makamanda wa chadema kwa pigo mlilo lipata la kamanda wenu kukutwa na hatia ya kujiusisha na madawa ya kulevya
Pia nimeona Ana mashtaka ya uhujum uchumi...
hiyo lugha ya kubambikiwa sijakuelewa.Sasa mtu ameshikwa na nyara za serikali na mwingine kabambikiwa heroine na serikali daah!!
Sawahiyo lugha ya kubambikiwa sijakuelewa.
Hiyo ni pafu moja tu!Sasa eti teja unamfungulia kesi ya uhujumu uchumi?????WTF??Muuza madawa akutwe na gram 23!?... Labda useme ni junki
sikia nikwambie wewe ni rafiki yangu wa karibu.Endelea kudhani ukimya wako ni salama sana kwako!!ipo siku utakapoguswa hata kama ni indirect utakumbuka hii comments!! Utawala usiozingatia sheria wala utu hauna budi kukemewa..ukibaki kimya huna tofauti na wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe unafikiri amri imetoka wapi? Mbona unajitoa ufaham? Unaaambiwa kuwa hata hao mapolisi wanasikitika Lakini hawana namna bado unataka kujitoa ufaham, Yule Mkuu wa mbeya alipofunga baar asubuhi yake, Yule wa Iringa asubuhi yake huyu wa dar asubuhi yake, unaamabiwa kuwa kila kitu kinachofanyika kwa sasa amri inatoka kwa magufuli na hata hao polisi huku nje wanasimliaMagufuli anahusikaje hapo kwenye madawa ya kulevya,acha chuki za hovyo wewe
Sasa wewe umejitoa ufaham kwa kuwa mmeletwa humu, majinga Sana nyie ipo Siku mtatajana tuUna ushahidi amebambikiwa wewe?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwa kuambia nani kuwa magufuli anaendesha mambo kistaarabu? Nchi imeishaingia choo cha kike alieko kule juuu hajieshimu ndio unataka iwe jePole yake lakini kiuhalisia huyu jamaa Hana ustalabu .Huwezi kukosoa viongozi was ngazi za juu kwa matusi na kuwazalilisha.Uanaharakati ufanyiwe kwa kukosoa kwa hoja.Namfam vizuri huyu jamaa Hana maadili.Mhimu anatakiwa ajifunze ajenge hoja vizuri akifanya hivo kisiasa atafika mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walamba makalio ya meko bana, kila kitu ushabiki tu.Fungua uzi wake huu Uzi ni wa mdude chadema madawa ya kulevya aka Pusher wa mwenye chair
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio bavicha Sema misukuma isiyofanya Kazi Kwa kutumia akiri kila kitu ni bunduki tu na manguvu, mwisho itawakosti wasukuma wote, kuna kipindi sisi wasukuma tutapata taaabu Sana huko mbeleni tuombe MUNGU huyu mzeee apone na huo ugonjwa anaoumwaWashauri wake ni hii mibavicha ya humu,
Akitukana rais inaanza kushangilia yeye anavimba kichwa, haya sasa hata muona hata mmoja.
Matoto mengine ni kutesa wazazi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, basi umejiona mtaaalam kweli kweli.Kijana mtanzania mtu mzima, unadiriki kuandikia serikali ya taifa lako neno la kashfa kuwa " tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika" alafu unadhani utabaki salama bila kukutwa na mkondo wa sheria! yani unaweza kuta una wakashfu hadi ndugu zako ambao wapo ndani ya ajira ndani ya serikali na kama Raisi alivyosema na mshahara wanapata na bado wanatusi wazi wazi!
Kuna una gari cruiser ya polisi hapa town imeandikwa "if you don't know the rule, don't try the game". Hii ni serikali ya awamu ya tano. Tufanye Kazi.
Amebambikiwa ndio sasa unasemaje?Kwa Comment kama hizi ni wazi hata wewe na wenzako mnajua wazi amevambikiziwa kesi kisa mienendo yake ya kisiasa!Walaaniwe wote wanaoshirika kudhulumu haki ya watu kuishi kwa uhuru na amani!