Kijana mtanzania mtu mzima, unadiriki kuandikia serikali ya taifa lako neno la kashfa kuwa " tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika" alafu unadhani utabaki salama bila kukutwa na mkondo wa sheria! yani unaweza kuta una wakashfu hadi ndugu zako ambao wapo ndani ya ajira ndani ya serikali na kama Raisi alivyosema na mshahara wanapata na bado wanatusi wazi wazi!
Kuna una gari cruiser ya polisi hapa town imeandikwa "if you don't know the rule, don't try the game". Hii ni serikali ya awamu ya tano. Tufanye Kazi.