Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

unajiita kamanda halafu unaponzwa na demu anakuonga 1.7 na wewe unajaa k'fala ?

aya sasa ngoja tuone makamanda wenzao watatoa msaada gani pimbi wewe
 
unajiita kamanda halafu unaponzwa na demu anakuonga 1.7 na wewe unajaa k'fala ?

aya sasa ngoja tuone makamanda wenzao watatoa msaada gani pimbi wewe
nimeshangaa sana. amedakishwa kisenge sana. attacker unatakiwa kuwa macho muda wote usimuamini yeyote
 
ona kina Polepole na Kabudi wanavyojiropokea hivyo,sio kwamba wanapenda
 
Mipango ile, kawekewa madawa.utawala huu hatar sana kwa ubambikiziaji Wa kesi
 
nimeshangaa sana. amedakishwa kisenge sana. attacker unatakiwa kuwa macho muda wote usimuamini yeyote
Usicheze na pesa hata wewe unakamatika. Kumbuka Mdude hata kilo 5 kwa mwezi hashiki sembuse 1M? Huyu dogo ni mjinga kama Bashite tu tofauti yao ni vyama vyao tu.
 
Silly! Tundu lissu alijenga hoja ila bado mlitaka kumuua, kuua ni tabia yenu, mnataka mbaki pekeenu tanganyika!?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kila zama na kitabu chake,dogo watamtesa kweli kweli sijui alikataa kuunga mkono juhudi ?.
 
Sasa hii ndo uhujumu uchumi? Wamemkamata kama teja! Maongezi yake hapo ndo yanaonyesha hivyo. Na hicho ni kiasi kidogo hivyo huyo siyo kingpin. Uhujumu uchumi?🤦🏾‍♂️
 
Kumbe ni Pablo Emilio Escober Gaviria wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…