Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya Selemani Nchambi eti ngoja tuone
Nawashauri wazazi wamwache akae jela wasihangaike kuuza mashamba kuhangaika na kichaa
Ni porojo zako tu msukuleLabda hawakuwa wakijua njia za wizi zinazo tumiwa na CCM ,Policeccm na Tume ya Uchaguzi ya CCM ..
Watuhumiwa wakishafikishwa mahakamani hawarudishwi vituoni ni magereza na kumbuka kesi yake haina mdhamana!Na mikesi ya namna hii unakuwa mfungwa manake inachukua muda mrefu hadi hukumu kutoka!Kivipi? Bado ni mtuhumiwa tu.
Ndo maana nimesema sie masikini... Nilikua naonya na ujumbe umefika. Hao wanasiasa wanatufanya sie mafala.so tucheze kwa stepNa wewe ushaona mtoto wa jiwe, Kasimu, Suluhu, job wapo humu kuitetea ccm? Mpo nyie masikini kupindukia mnaoitetea ccm wakati familia za viongozi wenu zinakula bata! Hatuwezi fanana wote.......tuvumiliane!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia PMAnapenda sifa huyu. Ila Coronavirus kiboko yake. Imemsepesha na kukimbilia Chato.
Sio busara kumuita mwenzio kichaa kuwa mstaarabu.Nawashauri wazazi wamwache akae jela wasihangaike kuuza mashamba kuhangaika na kichaa
Hapana hua ni mjasiriamali mdogo mdogo anauza Cover za simu,flash na vitu vya dizaini hio