Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Ukombozi kusini kwa Africa bado, mwafrika hajakombolewa kama mambo ndiyo haya..

Beberu wanatucheka SANA...yaani tunanyanyasana wenyewe kwa wenyewe vibaya...

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Niliishi na dada mmoja nilikuwa ninamtegea sana kutoa uchafu nje. Kwakua alikua msafi sana na alikua mpole alitoa bin karibu kila Jumamosi.

Kuna siku tulikuwa tunakula, aliniambia iko siku utamkumbuka yule mjinga aliyekuwa anatoa bin kila siku. Hakuna kinachodumu milele wakati huo utakua unaishi mwenyewe utamtegea nani.

Yake maneno mpaka leo huwa ninayatafakari sana. Kumbuka hakuna hali inayo dumu milele.
Usipoteze muda kumuelewesha asiyeelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana SOMENI ALAMA ZA NYAKATI Kuna sababu gani kupingana na Serikali kwa kutoa lugha chafu za Matusi????huyu MDUDE Ni kinara wa kutukana!!!!Ni vizuri zaidi kuwa na hoja kinzani bila kumkwaza mtu na hoja hiyo itaeleweka!!!
Okay Mpiganieni kwa hashtag zenu zisizo maliza hata mwezi!!!
 
kumbe kosa ni kutoa lugha chafu???sasa mbona mmemfungulia kesi ya uhujumu uchumi
 
Polisi wakija kukagua kwako lazima tu wakupandikizie "vielelezo feki"...
 
ukweli anaujua mungu,trust me mungu anayaona hata mashetani yanayo bambikia watu kesi...hayo mashetani kuna siku na wakati anaojua yeye mungu ataamua kuyaadhibu
Achana na Mambo ya kidunia,Kila mtu atajibu kwa wakati Wake
 
Ni unyang'ao uliopitiliza.
Corona inatafuna watu, mtu akisema ukweli mnampa kesi.

Nyote mlio ktk zama hizi mtajuta mda sii mrefu kwa maamuzi ya kipumbavu na kijinga mnayofanya.
Watanzania wako kimya kwa kua mmeshika mpini.

Mungu tusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuatilia timbwili za huyu jamaa dhidi ya polisi wetu na wale jamaa 'wasiojulikana", ni ngumu sana kuamini kama kweli hizo heroin ni za kwake! Usikute hajawahi kuziona tu hata kwa macho.

Anyway, ukweli utajulikana tu. Maana hata ile kesi ya Peter Zakariah wa kule Tarime ya kukutwa na silaha ya hatari nyumbani kwake, mara tu baada ya kuwadhibiti ipasavyo 'wasiojulikana' hatujui mpaka sasa iliishia wapi.
 
Back
Top Bottom