Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Sasa hivi si ugaidi tena ni mwendo wa uhujumu uchumi...ukae sero wee ..upelelezi miaka 5 haukamiliki.

Ukitoka kwa mujibu wa dipipi unakuta nchi unaongozwa na Rais mwingine .
 
Hili kundi lililokabidhiwa nchi nimegundua kuwa hawajui kupigana kisayansi, hili ni kundi la kupigana kwa kutotumia akiri, Siku zote kwenye Vita ukiona adui anakuzidi nguvu unatakiwa urudishe nyuma majeshi sasa hawa wakipelekewa wanaingia Kingi, hawatumiii akiri kupambana na wananchi wanatumia nguvu hata kipindi achacho wanajua kuwa dunia yooote inawatazama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo napochukia kujiingiza kwenye mapambano ya siasa...unaiacha familia yako inahangaika wew unaenda kunyea debe...kwani angetulia tu angepungukiwa nini?
Je Nyerere angesema atulie afundishe pugu pale angekosa nini??siasa ni maisha maana wao ndo wanaofanya maamuzi ya maisha yetu usipoifanya itakugusa tu,kama swala la sukari,elimu,maji,barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndiyo yale ninayosema kila siku, ukiamua kupambana na serikali basi hakikisha unajimudu sawasawa although unataka kufurahisha washikaji zako basi usije taka huruma ya jamii, maana lolote linawashwa kama hivyo.
 
Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
Magufuli anahusikaje hapo kwenye madawa ya kulevya,acha chuki za hovyo wewe
 
CHADEMA IMEKUFA LAKINI WANACHADEMA NI MOTO KULIKO KORONA, WATESI WAKE HAWALALI.
 
Duh! Amebambikiwa dogo! Jamaa wana roho kutu sana. Huyu naye walikuwa wamuuwe kama Ben Saanane

Una ushahidi amebambikiwa wewe?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…