STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Kama ni kweli mashtaka haya jiwe hatokufa kwa Corona kama sio kweli jiwe anaenda na Corona!!mungu amechoshwa na uonevu!!!
Washauri wake ni hii mibavicha ya humu,Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Uongo utakusaidia nini ?Kamanda unapoteza muda wako bure! Polisi wana ushahidi punguza hisia kama una ushahidi nenda kamsaidie
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mkuu siasa ni wito kama wito mwingine...ukiona Tanzania tunatabasamu muda huu basi elewa kuna watu waliumia...na wengine kufa kabisa.Hapa ndo napochukia kujiingiza kwenye mapambano ya siasa...unaiacha familia yako inahangaika wew unaenda kunyea debe...kwani angetulia tu angepungukiwa nini?
Good question!Huyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Ungemwambia yule dogo aache dharau na matusi.Magufuli hivi wewe ni Mtumishi wa umma kweli? Je unatenda haki kweli?
Haki huinua taifa, Bali dhambi ni aibu ya watu wote
We kibwengu ungekua na washaur ungekua unaandika upuuzi humuHuyo kijana anawazazi wanaomshauri?
Shetani hana rafiki , zamu yako ikifika ndio utaelewa .Mdude anapitia njia ya aliyopita Kabendera,mpk kufika mwisho lazima machozi na makamasi ya mchuruzike.
Akifika ukomo wa safari makeke ya mdude yatapungua kama ya Kabendera.
Pole mdude, kama huna Mungu tafuta miungu ikusaidie polepole.
Ukikaa kimya utaguswa direct au indirect tu !!ni swala la muda tutaongea lugha moja