Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Si kweliWatu wamechoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliWatu wamechoka
Akili yake ni njema kabisa....Duh!
Nilidhani unazo za kutosha kichwani, kumbe ni mtupu hivi?
Kwa hiyo wewe unahimiza hao watumishi walambe uchafu, kwa vile hawawezi kushindana na dola?
Akili yako ni mbovu sana. Watu wa mfano wako ndio maadui wakuu katika jamii yoyote ile.
Kweli kabisa yule ni mgonjwa wa akili....Wewe ndo umechanganyikiwa kudhani unamjua kuliko anavyojijua
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Nimekuambia wewe huna ujuacho ni mbabaishaji na bado sana kwenye masuala ya Kiroho. Nakuonaga kwenye uzi wa Yoga. Hiyo Yoshua 24 inasema hivyo?😄😄😄😄🤣😂🤣😂 nimekupuuza rasmi.Soma Yoshua 24,
Mfalme Balaki anamwita Nabii Ballamu aje awalaani Israeli Ili aweze kuwashinda katika vita,
Balamu anamwambia Hawa Haiwezekani kuwalaani maana WAMEBARIKIWA!!
Mfalme Balaki anamwambia Nabii Balamu, ukinilaania watu Hawa Israeli nitakupa RUSHWA ya nusu ya ufalme wangu,
Nitakupa pesa na Mali nyingi, sharti unilaanie watu Hawa!!
Balamu akamgomea Mfalme na akasusa Hongo zake, na AKAWABARIKI Israeli Badala ya kuwalaani.
Na zamani, kukataa Amri ya mfalme Ilikuwa ni kuuwawa.
Ndio Hawa wanaonitolea povu humu wao shujaa ni mtu anayeisema CCM. Yaani nchi hii kila kitu kinachukuliwa kisiasa.Mgonjwa wa akili.....
Dr.D........ Z......ameniambia huyo Mchungaji ana matatizo ya AFYA YA AKILI....huwa anachomwa sindano ya MODECATE moja kila mwezi na pia ameshatumia sana vidonge HALOPERIDOL.....
Vijana wa BAVICHA kama misukure nyuma ya mgonjwa wa akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka kumbukumbu sawa, Askofu wa KKKT karagwe kazaa na mke wa mtu?Hizi ni blah blha zako tu mnatulazimisha wote tuandamane na kutukana watawala kama hatuna akili? Sisi ni viongozi tuna watu tunawaongoza na hatuwezi kusimama mbele na kashfiana na viongozi wenzetu. Haya ya kuzini wewe wasema kwani hata hao maaskofu akina yule wa KKKT Karagwe mnayemuona shujaa amezaa na mke wa mtu, hao maaskofu na mapadri wa Kiroma ndio wenyewe tena wao hadi wanalawiti watoto wa kiume. Mashehe na maustadhi nao hivyo hivyo. Kwa hilo, mmetukosa hatusimami na kushutumu mamlaka ili tuonekane mashujaa. Sisi wajibu wetu ni kuwashauri tu.
Haya std7 hongera kwa kumaliza shule juzi. Sekondari unaenda soma wapi?Katika kusoma kwangu biblia toka agano la kale mpaka agano jipya manabii na mitume wa kweli asilimia kubwa walikuwa hawaelewani na wenye mamlaka
Hao manabii na mitume walikemea Zambi na makosa ya watu na viongozi wao
Nabii Elia Yohana mbatizaji na wengine wengi walikemea viongozi bila kinga'atang'ata maneno
Hii nchi imejaa rushwa, ufisadi, uchawi, na kila aina ya mabaya,
Lini viongozi wa dini mmesimama na kukemea hayo maovu ya serikali
Nyie mmekuwa kama wale manabii arobaini walioingiwa na pepo ili wamdanganye mfalme aende vitani akauwawe.
Mwakipesile anaweza kuwa na mapungufu mengi lakini si mnafiki
CPCT ondoeni boriti kwanza
SHALLOM.
Kwanini yohana aliuawa? Mfalme alikosea na yohana akakemea hakukaa kumya. Akauawa.Nawe u mbabaishaji na hakuna kitu cha Kiroho ujuacho. Hivi haonakina Yohana walienda kumsema na kumkemea huyo Mfalme Hadharani? Je Mungu gani asiye na utaratibu wa namna hiyo? Nathari alienda kwa Daudi, Samweli alienda kwa Sauli, Eliya alienda kwa Ahabu. Sasa leo mtu anasimama mtandaoni na kuanza shutuma tena kwa kashfa na kujigamba binafsi kushindana na dola. Jana niliona video moja ya Askofu mmoja anajiita mwana mapinduzi. Ile sio kukemea ni kujigamba na kutishia dola. Lina Yohana alisimama na "kusema simuogopi Herode, wala Pilato wala Majeshi yote ya Kirumi. Hayanifanyi kitu na hayanibabaishi kitu" hahaaa bro bwana. You are very low upstairs na masuala ya Kiroho huna ujuacho. Naonaga kule kwenye uzi wa yoga unavyoongea. Bado sana wewe.
Mbona wewe unamheshimu Yesu, wewe siyo binadamu?Wacha weeeeee, Hatuhitaji kuheshimiwa na vijana wanadamu. Yeye aliyetuita anatuheshimu sana. Hata Yesu hakuheshimiwa na wanadamu.
Wanagombea nini na huyu ni nani?Mbona wewe unamheshimu Yesu, wewe siyo binadamu?
Halafu ugomvi wenu na mbarikiwa haujaisha tuu?
Nafikiri ni yule Bagonza jamaa alizaa na muhudumu wa canteen moja pale Karagwe. Toto lina majicho kama ya Bagonza.Weka kumbukumbu sawa, Askofu wa KKKT karagwe kazaa na mke wa mtu?
Yule Askofu wa chadema?
Siku hizi kila kitu ni siasa.😂🤣🤣😂🤣Ndio Hawa wanaonitolea povu humu wao shujaa ni mtu anayeisema CCM. Yaani nchi hii kila kitu kinachukuliwa kisiasa.
Tapeli tu huyo bwana mdogo na nabii zake za kitoto huku JF.Nimekuambia wewe huna ujuacho ni mbabaishaji na bado sana kwenye masuala ya Kiroho. Nakuonaga kwenye uzi wa Yoga. Hiyo Yoshua 24 inasema hivyo?😄😄😄😄🤣😂🤣😂 nimekupuuza rasmi.
Mbona una hasira na wachungaji wa kilokole? Walikulawiti nini maana si kwa povu hili dogolasi?$#%&&&Walafi kama nini
Na huyo Dr wenu naye ni mgonjwa wa akili nani kampa ruhusa kutoa siri za wagonjwa?? Maccm mna shida sana na propaganda zenu za hovyoKweli kabisa yule ni mgonjwa wa akili....
Dr.D......on Z.....analijua hilo....
Ameniambia huwa anachomwa sindano za Modecate....moja kila mwezi.....
Wewe nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. WAYAHUDI walimuua Yesu na hawakuwa na dola? Pilato, Herode walikuwa viongozi wa Kirumi na ndio walitoa hukumu. Wayahudi walileta mashtaka ya kidini Pilato akaona hayana nguvu ndio wakaleta shtaka la uhaini dhidi ya Kaisari (kukataza watu kulipa kodi na kutomuheshimu Kaisari).Hajui BIBLIA huyo, Yesu aliuwawa na WAYAHUDI.
Adui wa karibu wa Mch Mbarikiwa ni watumishi wa uongo wale wanaokula sahani moja na Watawala kukandamiza HAKI za raia.
Hawa ndo hutumika kumaliza watumishi wa Kweli wakishirikiana na Watawala waovu.
Ndio ameshatoa hivyo kuwa Mch.Mbarikiwa Mwakipesile ni mgonjwa wa afya ya akili....jamaa alikuwa anatumia vidonge vya kumeza kila siku ikawa vinamfanya anachoka na kukosa hamu ya Tendo la ndoa....akamlalamikia Dr D....akabadilishiwa vyengine....Na huyo Dr wenu naye ni mgonjwa wa akili nani kampa ruhusa kutoa siri za wagonjwa?? Maccm mna shida sana na propaganda zenu za hovyo
Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Dr.D......Z anaendelea kunipa siri za Mchungaji Mbarikiwa.....Mbona wewe unamheshimu Yesu, wewe siyo binadamu?
Halafu ugomvi wenu na mbarikiwa haujaisha tuu?