1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Hizi Dini zineingiliwa na matapeli na machawa wanaoogopa kuumbuliwa ndio Maana wanajificha kwenye mgongo Wa kujinyenyekesha Kwa watawala Hata kama dhulma imejaa.Enzi za ukipigwa shavu moja mgeuzie la pili umepitwa na wakati.
Mnahubiri uoga na sio neno la ujasiri.
Tangu mwanzo Wafalme wakikosa hukenewa na watumishi wa Mungu lkn ninyi mmekuwa watu wa ajabu mno hasa Wapentecoste.
Wachungaji wa Kipentecoste wanafiki mnooo mnapitwa na RC.
ninyi ni wasengenyaji na wanung'unikaji chichini...ninawafahamu kuliko.
Wanatumia Dini kukwepa Kodi badala Wakati pesa ni michango ya waumini .
Cha ajabu hawatangazi ni bidhaa Gani imeingizwa na kusamehewa Kodi na Ina manufaa Gani Kwa Jamii . Cha ajabu michango haiishi. Wanashirikiana na matapeli kuingiza magari na vifaa vingine Kwa kukwepa Kodi ndio Maana wanakua ni tawi la wahuni na Mafisadi.
Kwenye ukweli usemwe Hata kama utamgharimu MTU . Ujapokufa Utakua unaishi . Lakni ukiishi ukiwa unamdhalilisha Mungu na Kristo basi Hata kama una jina la kuwa hai basi inakua umekufa kitambo.