Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

Ni vizuri....

Uchochezi dhidi ya dola ni kitu kibaya sana....

Utulivu wa dola ndio utulivu wetu wananchi [emoji120]
 
Duh!

Nilidhani unazo za kutosha kichwani, kumbe ni mtupu hivi?

Kwa hiyo wewe unahimiza hao watumishi walambe uchafu, kwa vile hawawezi kushindana na dola?

Akili yako ni mbovu sana. Watu wa mfano wako ndio maadui wakuu katika jamii yoyote ile.
Akili yake ni njema kabisa....

Mtawala hukoselewa kwa STAHA....

Kubwa hushauriwa.....

Huwezi kushindana na dola kupitia njia hizo....huo ni ubwege[emoji1787]
 
Mgonjwa wa akili.....


Dr.D........ Z......ameniambia huyo Mchungaji ana matatizo ya AFYA YA AKILI....huwa anachomwa sindano ya MODECATE moja kila mwezi na pia ameshatumia sana vidonge HALOPERIDOL.....

Vijana wa BAVICHA kama misukure nyuma ya mgonjwa wa akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuambia wewe huna ujuacho ni mbabaishaji na bado sana kwenye masuala ya Kiroho. Nakuonaga kwenye uzi wa Yoga. Hiyo Yoshua 24 inasema hivyo?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ nimekupuuza rasmi.
 
Ndio Hawa wanaonitolea povu humu wao shujaa ni mtu anayeisema CCM. Yaani nchi hii kila kitu kinachukuliwa kisiasa.
 
Weka kumbukumbu sawa, Askofu wa KKKT karagwe kazaa na mke wa mtu?
Yule Askofu wa chadema?
 
Haya std7 hongera kwa kumaliza shule juzi. Sekondari unaenda soma wapi?
 
Kwanini yohana aliuawa? Mfalme alikosea na yohana akakemea hakukaa kumya. Akauawa.
 
Wacha weeeeee, Hatuhitaji kuheshimiwa na vijana wanadamu. Yeye aliyetuita anatuheshimu sana. Hata Yesu hakuheshimiwa na wanadamu.
Mbona wewe unamheshimu Yesu, wewe siyo binadamu?
Halafu ugomvi wenu na mbarikiwa haujaisha tuu?
 
Nimekuambia wewe huna ujuacho ni mbabaishaji na bado sana kwenye masuala ya Kiroho. Nakuonaga kwenye uzi wa Yoga. Hiyo Yoshua 24 inasema hivyo?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ nimekupuuza rasmi.
Tapeli tu huyo bwana mdogo na nabii zake za kitoto huku JF.
 
Kweli kabisa yule ni mgonjwa wa akili....

Dr.D......on Z.....analijua hilo....

Ameniambia huwa anachomwa sindano za Modecate....moja kila mwezi.....
Na huyo Dr wenu naye ni mgonjwa wa akili nani kampa ruhusa kutoa siri za wagonjwa?? Maccm mna shida sana na propaganda zenu za hovyo

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Hajui BIBLIA huyo, Yesu aliuwawa na WAYAHUDI.

Adui wa karibu wa Mch Mbarikiwa ni watumishi wa uongo wale wanaokula sahani moja na Watawala kukandamiza HAKI za raia.

Hawa ndo hutumika kumaliza watumishi wa Kweli wakishirikiana na Watawala waovu.
Wewe nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. WAYAHUDI walimuua Yesu na hawakuwa na dola? Pilato, Herode walikuwa viongozi wa Kirumi na ndio walitoa hukumu. Wayahudi walileta mashtaka ya kidini Pilato akaona hayana nguvu ndio wakaleta shtaka la uhaini dhidi ya Kaisari (kukataza watu kulipa kodi na kutomuheshimu Kaisari).

Wewe ni empty sana kama jamaa anavyosema. Biblia inaposema nao walimtoa mikononi mwa mataifa nao wakamsulubisha ina maanisha nini? Je wale askari waliohukumiwa na kumchoma mkuki pale Msalabani walikuwa ni wayahudi?

Pathetic.
 
Na huyo Dr wenu naye ni mgonjwa wa akili nani kampa ruhusa kutoa siri za wagonjwa?? Maccm mna shida sana na propaganda zenu za hovyo

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Ndio ameshatoa hivyo kuwa Mch.Mbarikiwa Mwakipesile ni mgonjwa wa afya ya akili....jamaa alikuwa anatumia vidonge vya kumeza kila siku ikawa vinamfanya anachoka na kukosa hamu ya Tendo la ndoa....akamlalamikia Dr D....akabadilishiwa vyengine....

Baada ya muda akamlalamikia tena kuwa bado vinampunguza ile nguvu yake ya KUHUBIRI....ndipo hapo akaandikiwa hizo sindano MODECATE.....anadungwa nyumbani kwake.....kwake......kila mwezi....

Tumuonee huruma Mchungaji wetu Mbarikiwa Mwakipesile.....[emoji120]
 
Mbona wewe unamheshimu Yesu, wewe siyo binadamu?
Halafu ugomvi wenu na mbarikiwa haujaisha tuu?
Dr.D......Z anaendelea kunipa siri za Mchungaji Mbarikiwa.....

Kumbe ana matatizo ya afya ya akili....kwa usiri mkubwa hata sindano alizomuandikia huchomwa nyumbani kwake.....

Anachomwa sindano iitwayo MODECATE moja kila mwezi wataalamu wa masuala ya afya watatueleza hiyo ni dawa gani.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…