Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

Yaani walimu Baadhi Wana act kama wanajeshi wa quantanamo bay,ukatili tu au km hawajazaaa ,utadhani wako na wake wenzao au waume wenzao...it is scary kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naunga mkono kuwaadhibu watoto lakini isiwe adhabu kupita kiasi zinzotweza utu wa mtoto kama za pale Loleza.
 
Hivi wanajiskiaje yaani kutesa watoto wa watu?
wanafundishwa hao, walimu wanaelewa wanachokifanya watoto muda mwingine balehe zinawasumbua sasa bila kwenda nao sawa watakupanda kichwani na kuleta daraja sifuri shuleni.
 
Kufundishwa ndo uwatese?!sio kweli bwana eti adhabu zinafanya watoto wafaulu
 
wanafundishwa hao, walimu wanaelewa wanachokifanya watoto muda mwingine balehe zinawasumbua sasa bila kwenda nao sawa watakupanda kichwani na kuleta daraja sifuri shuleni.
Mentality za kikatili hizi
 
Back
Top Bottom