Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani walimu Baadhi Wana act kama wanajeshi wa quantanamo bay,ukatili tu au km hawajazaaa ,utadhani wako na wake wenzao au waume wenzao...it is scary kwa kweli
Fresh tuHivi wanajiskiaje yaani kutesa watoto wa watu?
wanafundishwa hao, walimu wanaelewa wanachokifanya watoto muda mwingine balehe zinawasumbua sasa bila kwenda nao sawa watakupanda kichwani na kuleta daraja sifuri shuleni.Hivi wanajiskiaje yaani kutesa watoto wa watu?
Kufundishwa ndo uwatese?!sio kweli bwana eti adhabu zinafanya watoto wafauluwanafundishwa hao, walimu wanaelewa wanachokifanya watoto muda mwingine balehe zinawasumbua sasa bila kwenda nao sawa watakupanda kichwani na kuleta daraja sifuri shuleni.
Roho mbaya tuFresh tu
Wenzio wanajenga CV ya kuogopwa[emoji1787][emoji1787]
Na lile baridi la pale sasa[emoji119]
Pale Mbeya mjini hakuna sehemu Ina baridi kama Loleza na Igawilo.
KabisaI have learned to mind my own biz. Sihangaiki na mtoto wa mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roho mbaya tu
Mentality za kikatili hiziwanafundishwa hao, walimu wanaelewa wanachokifanya watoto muda mwingine balehe zinawasumbua sasa bila kwenda nao sawa watakupanda kichwani na kuleta daraja sifuri shuleni.