Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

Tai zinanyonga bwana mdogo Tena hizi za sekondari ndefu kabisa hizi na Kama huamini test kwakutumia tai Yako utakuja kunishukuru.
Acha zako hapaa wee, Tai ya sec ndo inyonge mtu?? Afunge kwa kenchi, mbna kwa uzito wa yeye kubembea ingechanika kabla hajafa.
 
Nashangaaa wee tai mbna ingechanika kabla ya yeye kubembea, kwenye kenchi so mchezoo.
Hivi unazungumzia tai ndege au hizi za vitambaa vya suruali? Tumepoteza ndugu na jamaa kisa kujinyonga Kwa tai. Nenda hata dukani tu nunua tai kajinyongee utanishukuru kukufikisha kuzimu. Tai zinaua, mwezi wa nne tumemzika baba mdogo Kwa kifo Kama hicho.

Kidumu chama Cha Mapinduzi
 
Nakataaa, uongo mtupuuu.
 
Acha zako hapaa wee, Tai ya sec ndo inyonge mtu?? Afunge kwa kenchi, mbna kwa uzito wa yeye kubembea ingechanika kabla hajafa.
Hivi unakaa wapi we mdada? Marekani au Tanzania hii hii? Tai na mikanda vinaua. Tena ni chap Kwa haraka.

Kidumu chama Cha Mapinduzi
 
Hapa lazima mapenzi yanahusika. Huenda alikuwa na kademu na hakupenda kutenganishwa nako kwa kuhamishwa!! Ni wazo langu tu!
 
Kuna watu wana diss vitu vya ajabu ati tai haiui.

Aliye tayari tu bet halafu ajinyonge nayo kama akichomoka salama

achukue dau ila akifa mimi msingi mbio.
 
Acha zako hapaa wee, Tai ya sec ndo inyonge mtu?? Afunge kwa kenchi, mbna kwa uzito wa yeye kubembea ingechanika kabla hajafa.

Nenda ukajaribu kujinyonga sasa hivi ulete mrejesho, tena ikibidi funga safari hadi eneo alilojinyongea na uombe hiyo tai aliyoitumia, funga kwenye hilo hilo kenchi tuone hiyo tai itakavyochanika kabla hujafa ama ulete mrejesho!
 
Huko kenya mwanaume wa miaka 45 amejinyonga kisa mke wake hajamchinjia kuku
 
Alitakiwa Lucas Mwashambwa na nyuzi zake za Praise n worship.
Wanyiha Msukule wenu mmeusahau huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…