Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Alifanya mkutano na hao waafugaji akawaambia anawapa wiki moja watoe mifugo yao huko kwenye hifadhi la sivyo itakamatwa. Ila Kama kawaida ya wabongo, wakawa vichwa ngumuRC Chalamila jana alionekana kupitia ITV habari akiongoza operesheni hiyo na kuna mkwara aliupiga duh.........rip mwekezaji mzawa!
RC Chalamila jana alionekana kupitia ITV habari akiongoza operesheni hiyo na kuna mkwara aliupiga duh.........rip mwekezaji mzawa!
Kumbe.Siku hizi wengi hatuangalii local TV maana zinachangia kutupandikizia ujinga na hofu.
Kwanini ni vichwa ngumu?Alifanya mkutano na hao waafugaji akawaambia anawapa wiki moja watoe mifugo yao huko kwenye hifadhi la sivyo itakamatwa. Ila Kama kawaida ya wabongo, wakawa vichwa ngumu
Kumbe.
Unaamini zaidi za yule mfalme wa twitani?!Kabisa, kiasi kwamba ukituambia habari za kwenye TV za nyumbani tunashangaa bado kuna watu wanalishwa ujinga? Sasa hivi ukitaka habari balanced uje mitandaoni, na sio kwenye hizo media zilizobanwa.
Hata mm nlkaona hako ka uzi nikasoma comments za watu kiukwel nilishindwa kukubal au kukataa na mtoa maoniPole yake sana
Kuna kauzi kalitrend asubuhi kuwa serikali ianze kutoza kodi kwa kila ng'ombe
Niliona mazingira sio rafiki saa hii kuna mfugaji kasepa kawaachia ng'ombe
Kiukweli mazingira sio rafiki kivile kwa wafugaji
Unaamini zaidi za yule mfalme wa twitani?!
Kwa hiyo serikali imeshindwa kabisa kuwaelimisha hawa wafugaji wa kuhama hama kubadili hii aina ya ufugaji?
Miaka nenda sasa jamii ya Wamasai, Wabarbaig, Wasukuma, nk. Wamekuwa wakihama hama hovyo na idadi kubwa ya mifugo wakitafuta maeneo ya malisho, huku wakifanya uharibifu mkubwa wa mazingira!
Ni kwa nini wasitafutiwe maeneo maalum ambayo watatulia na mifugo michache, huku wakiifuga kisasa badala ya kiholela kama ilivyo desturi yao ya vizazi na vizazi!!!
Yaani serikali inawaogopa mabeberu kuliko wananchi wake!!!hapo angekuwa ni mzungu, matamko yangekuwa mengi sana, ya kujikosha, lakini kwakuwa ni mzawa!!kosa ni lake!!!ndio maana utasikia majibu ya KIBANDIDU!!ukitaka kuona nchi hii ina vyombo vya ulinzi imala, tatizo la kihalifu limkute mzungu!Duh pole kwa wafiwa! Serikali ni watu na watu ni serikali! Why isihusishwe hapo? Raia wake kakatiza uhai🤔
This isn't fair kwakweli! Hilo tamko la kikauzu sana dah🙄Yaani serikali inawaogopa mabeberu kuliko wananchi wake!!!hapo angekuwa ni mzungu, matamko yangekuwa mengi sana, ya kujikosha, lakini kwakuwa ni mzawa!!kosa ni lake!!!ndio maana utasikia majibu ya KIBANDIDU!!ukitaka kuona nchi hii ina vyombo vya ulinzi imala, tatizo la kihalifu limkute mzungu!!!
Alaumiwe kwa kusema sheria ichukue mkondo wake?Chalamila ndiye mtu wa kwanza wa kulaumiwa maana yeye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kusisitiza kuwa hao ng'ombe lazima wakamatwe na sheria zichukue mkondo wake.