Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Ni sawa tu. Kwani hata matekani si watu wanakufa wakati wa uchaguzi? " kifo ni kifo tu"Haya mambo siyo ya kujideula nayo ni lazima tujiulize kuna nini?
Wanauawa hadi Vijana Wadogo kabisa 🐼
Serikali ichukue hatua haraka tafadhali
Swela!
Pia soma
- Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa
Yess! Tuafahamiana tu.Taratibu Taratibu, sumu inazidi kuenea Taifa la Tanganyika.. 🤨🤨🤨
Ngoja tuoneee!!Bimkubwa anasema hizo ni drama tu na kifo ni kifo tu.
Hao vyama vingine wanakufa katika mazingira gani?.Sio kila kifo nichakupaza sauti.Kuna vifo vinabaki kua swala la jeshi lenye dhama ya kufanya uchunguzi na kuna vifo inatakiwa jeshi husika ndio lipigiwe kelele.Ukipanua akili utaona tofauti.Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
italkua wivu wa mapenzi tu huo hakuna lolote"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
kumbe na wao wanakufaCcm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
ukute ndio huyo Lucas mwenyeweKwa akina Lucas Mwashambwa huko 🐼
walianza na yule Katibu Iringa Mafinga kuleWanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe sasa.
Hapo ndipo utagundua kuwa upinzani Tanzania hakuna kitu, yaani akiuawa ACT ni CCM, akiuawa CUF ni CCM, akiuawa CCM ni CCM.... hahahahaha... upinzani ni watakatifu.Wanaanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe sasa.
Umetumia Intelligence gani kufanya hiyo conclusion... vipi kama ni wivu wa kimapenzi, vipi kama ni masuala ya kifamilia...Mwenyekiti wa tawi ni mtu mdogo sana. Hawa ni CCM wamemfanyia umafia kubalance hoja.
Msitutoe kwenye hoja
Tena ya usingizi fofo wanaota kifo ni kifo tu,wakiamka tulisha kufa karibia wote,ama kwa kutekwa au kwa kuuliwaVipo likizo
"Hata kumlisha mke wako ni sadaka."Ustaadh mandaz..kila upenyo dini