TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

TANZIA Mbeya: Mwenyekiti wa UVCCM Makongorosi, Michael Kalinga akutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa

Ccm wakiuliwa hatusikii haki za binadamu wakizungumza ila wakifa vyama vingine
Hao vyama vingine wanakufa katika mazingira gani?.Sio kila kifo nichakupaza sauti.Kuna vifo vinabaki kua swala la jeshi lenye dhama ya kufanya uchunguzi na kuna vifo inatakiwa jeshi husika ndio lipigiwe kelele.Ukipanua akili utaona tofauti.
 
Hii nchi imekuwa kama Chicago, Illinois au Haiti. Huko ajali, huko mauaji, huku majengo yanadondoka, huku mafuriko yanaua watu.. "Chura kiziwi" nadhani ameshindwa kazi. I predict mwakani kutakua na mchuano mkali Chimwaga
 
Back
Top Bottom