Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu bibi ni mtu hatari snMwenyekiti anaandaa mazingira ya 2025 kulingana na "washauri" wake wanavyompa masharti na maelekezo. Tutaona mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bibi ni mtu hatari snMwenyekiti anaandaa mazingira ya 2025 kulingana na "washauri" wake wanavyompa masharti na maelekezo. Tutaona mengi.
Hii sumu ya "kifo ni kifo tu" aliyoipanda Sa100 hadi kufikia 2025 atavuna alichokipandaMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumanne, Desemba 3, 2024 na mwili wake kukutwa Kata ya Mkola.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Wilbert Siwa amesema wamepata taarifa za mauaji ya Kalinga na wanaendelea kuzifanyia kazi.
Katibu wa CCM Wilaya Chunga, Charles Jockel akizungumza na Mwananchi amesema amepokea taarifa hizo leo Jumanne asubuhi kutoka kwa uongozi wa CCM Kata ya Makongorosi.
"Haijulikani alikuwa anakwenda au kurudi Makongorosi maana mwili wake umekutwa eneo la kuelekea Kata ya Mkola," amesema Jockel.
Acha ujinga 🐼Twende na mwendo huo huo si ni drama hakuna mauaji?
UWT mmeshikwa pabaya sasa, tuliwaambiwa mtaanza kuuana wenyewe, CCM mnatoa kafara za 2025Acha ujinga 🐼
Halafu huyu Kalinga ni muhehe ujue 🐼UWT mmeshikwa pabaya sasa, tuliwaambiwa mtaanza kuuana wenyewe, CCM mnatoa kafara za 2025
Lakini si ni CCM?Halafu huyu Kalinga ni muhehe ujue 🐼
Basi Wewe ni MchawiNikisikia liccm limekufa nafuahi sana
Hao wana vichwa vigumu kweli kweli hawaambiliki,hawajifunzi hata kutubu hawataki.Kwa ninavyowafahamu vijana wa uvccm, si ajabu huyo marehemu alikuwa mastermind wa kupanga mipango ya kuwaua/kuwadhuru wapinzani huku naye akiwindwa na wabaya wake humo ccm!
Watu wa CCM siku mkijua kuwa maisha ni ubatili mtupu na hakuna aliye na haki ya kuamua hatima za watu wengine hapa chini ya jua ndipo mtakuwa na amani mioyoni mwenu. Kifo cha Magufuli nilitegemea kiwe somo zito sana kwenu, ila kwakuwa hamjitambui hamkuambulia chochote!
Natamani na lile ccm kubwa la pale juu kabisa li-rest in peaceBasi Wewe ni Mchawi
Ustaadh mandaz..kila upenyo diniMtume Muhammad (S.A.W.) alihimiza sana haki na suluhu za migogoro kwa njia ya amani na usawa. Hadithi mbalimbali zinaelezea jinsi Mtume alivyoshughulikia mizozo kwa hekima na uadilifu, akionyesha kuwa haki ni msingi wa amani na mshikamano wa kijamii. Hapa kuna hadithi mbili mashuhuri zinazohusiana na haki:
1. Hadithi ya Wanawake Wawili na Mtoto
Imepokelewa kuwa wakati wa Mtume Suleiman (A.S.), wanawake wawili walikuja mbele ya Mtume Muhammad (S.A.W.) wakigombania mtoto mmoja, kila mmoja akidai kuwa yeye ndiye mama wa mtoto huyo. Mtume alisikiliza hoja zao kisha akaamua kutumia hekima ya kipekee.
Aliamuru mtoto akatwe vipande viwili ili kila mmoja apate nusu. Mwanamke mmoja alikubali, lakini mwingine alilia kwa uchungu na kusema:
"Mtume wa Mwenyezi Mungu, mpeni yeye mtoto mzima; sitaki afe!"
Mtume alitambua kuwa mwanamke aliyekataa kukatwa kwa mtoto ndiye mama wa kweli, kwa sababu hakutaka kuona mtoto akiangamia. Hivyo, alihitimisha mgogoro huo kwa kumkabidhi mtoto mama wa kweli, akihimiza huruma na haki.
Fundisho: Haki inahitaji hekima na uelewa wa kina wa hisia na dhamira za watu ili kufikia suluhisho la amani.
Na watashughulikiana sana kuelekea uchafuzi mkuu 2025.CCM wakishamalizana na wewe wanakuua wewe mwenyewe
Acha wauane maana wao bila damu kumwagika hawapendi.Na watashughulikiana sana kuelekea uchafuzi mkuu 2025.
Wameshalaanika.Hao wana vichwa vigumu kweli kweli hawaambiliki,hawajifunzi hata kutubu hawataki.