Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi , Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!
Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi , Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

View attachment 2754827
View attachment 2754828
Ni aibu kuwa na jeshi la polisi linalowabambikiza raia makosa ya uwongo
 
Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!

Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

View attachment 2754827
View attachment 2754828
Kwani kuna mtu ametajwa hapo?
 
Kwa hiyo kuanzia sasa mtu akiimna ameachwa na mpemzi wake inabidi akatuonyeshe huyo mpenzi aliyemuacha?
 
Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!

Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

View attachment 2754827
View attachment 2754828
Nchi hii aisee ,unaweza kucheka kama mazuri , sasa uhongo upi, na huongo sasa imekua kosa la kumkalisha mtu ndani kwa siku 3 , hivi jeshi la police halina kazi za kufanya
 
Msanii Sifa Bujune ambaye aliswekwa rumande kwa maelezo kwamba, wimbo wake umejaa Uchochezi , na kwamba angeburuzwa mahakamani kwa uchochezi wake huo, leo amefikishwa mahakamani, baada ya shinikizo la Wanasheria kutaka aachiliwe ama afunguliwe mashtaka.

Bali kinyume na madai ya RPC wa Mbeya ambaye alimpa Bujune kesi ya Uchochezi, Msanii huyo ameshitakiwa kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo, Ajabu!

Hii maana yake ni kwamba RPC wa Mbeya ni Muongo na hafai kuendelea kuwa mtumishi wa jeshi la polisi, Napendekeza Afukuzwe kazi haraka na akamatwe.

View attachment 2754827
View attachment 2754828
Samia ni Magufuli katika kilemba chekundu, wote hawana hadhi ya urais
 
Back
Top Bottom