Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

Ni aibu kuwa na jeshi la polisi linalowabambikiza raia makosa ya uwongo
 
Kwani kuna mtu ametajwa hapo?
 
Kwa hiyo kuanzia sasa mtu akiimna ameachwa na mpemzi wake inabidi akatuonyeshe huyo mpenzi aliyemuacha?
Your browser is not able to display this video.
 
Nchi hii aisee ,unaweza kucheka kama mazuri , sasa uhongo upi, na huongo sasa imekua kosa la kumkalisha mtu ndani kwa siku 3 , hivi jeshi la police halina kazi za kufanya
 
Samia ni Magufuli katika kilemba chekundu, wote hawana hadhi ya urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…