Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #21
Tunaangalia usalama wenukupanga ni kuchagua mkuu,
Jenga yako ya nondo na mawe! inakutosha wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaangalia usalama wenukupanga ni kuchagua mkuu,
Jenga yako ya nondo na mawe! inakutosha wewe!
Nakupa utaalamu ,nyumba za udongo na miti hazina madhara makubwa kweny tetemeko kuliko hayo magorofa ..Kwa akili tu unajua.Umeongea kama mshabiki au mtaalamu?
Dhaifu kushinda Mkoa wako upi? Mbona unakwepa kuutaja?Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.
Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Kwahiyo nyumba ya udongo ikimuangukia mtu hafi? Kwa akili yako nyumba ipi itaanguka kirahisi, ya block au matope?Nakupa utaalamu ,nyumba za udongo na miti hazina madhara makubwa kweny tetemeko kuliko hayo magorofa ..Kwa akili tu unajua.
Nenda kilimanjaro, dar, dodoma etcDhaifu kushinda Mkoa wako upi? Mbona unakwepa kuutaja?
Nyumba ya udongo haina pattern kama za matofali labda ya matofali ya kuchoma...Ila nyumba ya miti sio rahisi labda mafuriko.Kwahiyo nyumba ya udongo ikimuangukia mtu hafi? Kwa akili yako nyumba ipi itaanguka kirahisi, ya block au matope?
Tumeona mazishi ya mtega huko kwao Rombo hamna nyumba ni zile za hao matajiri kawaida kila kona ,zipo sehemu hata mbeya na iringa wapo madon.dar masaki ndiosehem salama yakuishi
Takataka kote huko zimejaaNenda kilimanjaro, dar, dodoma etc
Sawa mkuuWewe nimekaa mbeya miaka zaidi ya 10 years ago
Kushinda mikoa yote yenye majiji katika nchi,Dhaifu kushinda Mkoa wako upi? Mbona unakwepa kuutaja?
Hata Dodoma, Tanga na Arusha ni majiji mazuri kuliko Mbeya. Linaloitwa jiji la Mbeya bado liko katika hali ya ukijiji sana.Mbeya ni Jiji kubwa sana, ukiondoa Dar na Mwanza.
Mbeya kilichoiangusha viwanja/mashamba vinamilikiwa na watu binafsi hivyo walijiuzia walivyojisikia. Kila mtu amejenga nyumba inaelekea upande wake. Ukiangalia soko motola ni mji wa zamani ila umepangwa vizuri. Sijui nini kilitokea serikali ikajisahau watu wakaanza kujenga holela.
🚮🚮🚮🚮Kushinda mikoa yote yenye majiji katika nchi,
Mbeya haikupaswa kuwa jiji kabla ya mwaka 2030.
Umenena vyema mkuu, nadhani udongo ule ni mzuri maana kuna mkuu wa shule kabisa kajenga nyumba kwa matofali mabichi.Nilipofika MBEYA mwaka 2005. Nilishangaa kuona jiji lenye nyumba duni(kumbe mby ni mji wa zamani).
Baadae nilijifunza kuwa Mkoa wa Mbeya ni mkoa pekee wenye udongo mgumu unaofaa kwa tofali mbichi, hivyo watu wa mbeya hawaoni haja ya kuchoma tofali wakati ubora hautofautiano sana.
Mfano mbalizi hata wanajeshi na watumishi mbalimbali hujenga kwa tofali mbichi.Tukumbuke ukanda wa mbalizi ndio mwambao ule unaotoa simenti, hivyo udongo wake ni IMARA SANA hata MUST hupeleka tofali hio kuionesha nane nane.
Mbeya boma lililojengwa kwa tofali udongo linaweza nyeshewa hata miaka 10 bila kudondoka.
Jambo linalokosekana Mbeya ni mpangilio wa mji. Wasafwa wameuza viwanja holela.
Kwa sasa Mbeya wanajenga nyumba za kila material kuanzia siment, kuchoma na udongo. Sekta ya ujenzi inakuwa sana mbeya.
Tukumbuke jambo lingine mbeya kujenga ni rahisi kwa sababu ya uwepo wa malighafi mbao,siment?, udonho, maji hivyo kila myu hujenga, hsli hii imeprlekea kuwepo utitiri wa nyumba zenye ubors na zisizi na ubora.
All in all TZ mipango miji ipo chini sana? Sio Mbeya tu.
Mbeya yakuonea huruma tu!Hata Dodoma, Tanga na Arusha ni majiji mazuri kuliko Mbeya. Linaloitwa jiji la Mbeya bado liko katika hali ya ukijiji sana.
Ni kweli maana kuna watu wana kipato kizuri, na wanaishi nyumba za kupanga, ni bora aweke takwimu ya mikoa inayoongoza kwa nyumba bora.Nikategemea jedwali lingekuwa linahusu mikoa yenye kiwango kikubwa cha nyumba bora za makazi kumbe linahusu kipato/vipato?
Hela kila mtu anapata kinachozungumzwa hapa kwanini makazi yao ni duni?