Mbeya na Iringa wananchi wamejenga nyumba za kijima

Mbeya na Iringa wananchi wamejenga nyumba za kijima

Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.

Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
"Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa", mbona huwa yanatokea.
 
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.

Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
mbeya gani? na iringa gani? vipi ddodoma na shinyanga? au singida? kwa mikoa yoote, nyumba zimejengwa Dodoma tu, wengine wote mkasome.
 
Ni kweli maana kuna watu wana kipato kizuri, na wanaishi nyumba za kupanga, ni bora aweke takwimu ya mikoa inayoongoza kwa nyumba bora
 
Sema jamaa, aliandika hii mda, kaitaja Iringa na mbeya, Sijaona alipotaja Njombe, au Njombe siyo mkoa unaojitegemea.

Maana Shinyanga siyo Tabora, na wala simiyu siyo Mwanza.
 
Lini yametokea huko mbeya na Iringa?
Mkienda shule muwasikilize walimu wanachofundisha, Mbeya iko njiapanda ya bonde la ufa( sijui kama umewahi kusikia bonde la ufa!) kuelekea mashariki ziwa Nyasa na magharibi ziwa Tanganyika, Iringa nayo imo ndani ya bonde la ufa.
 
Back
Top Bottom