Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
"Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa", mbona huwa yanatokea.Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.
Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Lini yametokea huko mbeya na Iringa?"Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa", mbona huwa yanatokea.
mbeya gani? na iringa gani? vipi ddodoma na shinyanga? au singida? kwa mikoa yoote, nyumba zimejengwa Dodoma tu, wengine wote mkasome.Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.
Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Ulikuwa unaishi wapi!!??Wewe nimekaa mbeya miaka zaidi ya 10 years ago
Ni kweli maana kuna watu wana kipato kizuri, na wanaishi nyumba za kupanga, ni bora aweke takwimu ya mikoa inayoongoza kwa nyumba bora
Soweto, block QUlikuwa unaishi wapi!!??
Miaka 10 ulishindwa kujua aina ya udongo wa Mbeya??Soweto, block Q
Apigwe maweAsante ChoiceVariable kwa kuleta takwimu hizi. Hii mikoa ni ya kuiheshimu na watu wake wachapakazi.
Huyu anataka kuringishia magorofa ya Serikali yaliyopo Dar na Dodoma dhidi ya nyumba za watu binafsi wa Mbeya na Iringa.
Kivipi? Mimi sio mtaalamu wa udongo.Miaka 10 ulishindwa kujua aina ya udongo wa Mbeya??
Sema jamaa, aliandika hii mda, kaitaja Iringa na mbeya, Sijaona alipotaja Njombe, au Njombe siyo mkoa unaojitegemea.Rais Magufuli: Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako ndio mji wenye nyumba na Makazi bora Tanzania
Leo tarehe 11 April 2019,Akiwa mji wa Makambako mheshimiwa Rais amekiri wazi kuwa hajawahi ona mji Tanzania uliopangwa na kuwa na nyumba bora za Makazi kama Mkoa wa Njombe hasa mji wa Makambako Ameomba mawaziri wakawaelimisha maeneo wanayotoka sehemu ya kujifunza nyumba bora ni Njombe Yeye...www.jamiiforums.com
Huko ni TANGA na sio Mbeya!!Huko si ndiko wanakosema ukionekana umejenga nyumba mzuri sana kesho huamki?
Mkienda shule muwasikilize walimu wanachofundisha, Mbeya iko njiapanda ya bonde la ufa( sijui kama umewahi kusikia bonde la ufa!) kuelekea mashariki ziwa Nyasa na magharibi ziwa Tanganyika, Iringa nayo imo ndani ya bonde la ufa.Lini yametokea huko mbeya na Iringa?
Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne.
Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
Mtuache...[emoji16][emoji16]Siku hizi wanajengea blocks afu hawachapii ili zionekane[emoji4][emoji4][emoji4]