Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Acheni kupiga domo, mna spika anayeongoza mhimili, hivyo sababu za kulalamika sizioni.
 
Umesema kweli,mgawanyo wa mapato sio sawa kabisa kila kitu Dar,Pwani na Dodoma na huku kwingine panaitwa mikoani maana yake barabara za vumbi na lami za kurambisha ni haki yetu,huduma za afya mpaka tuende muhimbili,kiongozi akitoka huku ni mshamba.Sasa kinachofuta ni kuanza kupigania serikali za majimbo.
 
Kwa nini usiwepo utawala wa majimbo (states) kama USA? Kila kanda itumie rasilimali zake, iwe na utawala wake na sheria zake alafu ndo kuwe na serikali ya shirikisho? Haya mambo ya mikoa naona kuna kanda zinanyonywa especially kanda ya ziwa[emoji35]
Hiki kitu hata mimi niliwahi kufikiria ingependeza sana aisee na majimbo yangeendelea sana sana sanaaaa ni mwendo wa state tu
 
Una bwabwaja sana kama mwimba taarabu, Maendeleo ya Tanzania unayoyaona leo kanda ya ziwa ina mchango wa asilimia 70%, kanda ya ziwa ndio sehemu ilijaliwa wasomi wengi na maprofesor wa mwanzo walitoka huko.
Kama ina mchango wa 70% ,jitoeni wenyewe mnabebeleza Mbeya Kwa nini nyie vilaza?
 
Hata na Kaskazini ijitenge na yenyewe, Pwani, Kati na Zanzibar waungane
 
Kunapo kosa usawa wa kimaendeleo haya lazima yatokee..hii nchi rasilmali zote zinaenda kujenga dsm tu..inadhani hiyo ni sawa?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa ikizidi watu huangalia jikoni kanakuwa kitokacho huko ni kidogo. Lakini wakishiba husahau ya jikoni na kutafuta njia ya choo.
 
Kama ina mchango wa 70% ,jitoeni wenyewe mnabebeleza Mbeya Kwa nini nyie vilaza?
Kwani mbeya na nyanda za juu kusini kwa ujumla nazo ziko Tanzania?! Hivi hata Rais Samia anafahamu Kuna mbeya kweli nchi hii?! Wakati Kanda ya ziwa na Zanzibar zimeshatoa Marais wawili wawili kuchangia uongozi wa nchi ajabu nyanda za juu kusini haijawahi kutoa hata waziri mkuu tu miaka 60 ya uhuru.
Wakati TFF inaleta mechi za kimataifa za timu ya taifa kuchezea MWANZA kama vile Taifa stars vs Senegal, wakati huo huo angalau simba na Yanga hawajawahi hata kufikiria kupeleka mechi zao za kimataifa Mbeya kama vile Yanga vs Pyramid pale Mwanza.
 
So mikoa mwingine wasemeje acheni kujifanya mnajua pelekeni mikoa y pwni iwe Zanzibar kwanza ndo muanze mengine maana ilitengwa na nyerere na wafuatiliaji wake
Kumbe Dar sio pwani. Kazi kwelikweli.
 
Uongo kimara allipobomoa JPM sasa ni pori tu je umepita ukaangalia? Barabara imrechukuwa sehemu ndogo sana! Ndo maana watu wanaona ni ukatili na ubabe acha Mungu ampumzishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…