Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono .

Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki.

Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka

Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
 
Upo sahihi mbeya ndoo ukomboz wa nchi hiii.....
 
Wanambeya hakuna kurudi nyuma ,hao askari waliomteka na kumuua mdude wafateni majumbani mwao mkawaulize wamemzika wapi mdude? Viongozi wa CHADEMA yaani hata picha hawaoni ,kwasisi wenye upeo wa kuona mbali na kujulishwa mambo na uwezo wa kumsoma mtu ni KWAMBA MDUDE tayari walishamalizana naye!!

Kitendo cha RC ,RCO ,RPC wote wanapiga PING PONG na wengine hadi kutoa DONGE NONO means BIASHARA NA MDUDE walishaimaliza walichobaki ni KUPIGA MARK TIME.
 
Nashangaa Polisi wanasema eti wasidhani kwamba ni rahisi yaani ni NON SENSE kabisa ,washukuru waTZ walijengwa vizuri na mwalimu nyerere lakini utawala wa awamu ya tano na hii ya 6 inatengeneza visasi ambavyo vitakuja kuzaa matunda huko mbele ambapo polisi ndiyo watakuja kusema kwamba ni rahisi au ngumu.

Kuna kitu ukimwaga mboga huyu anamwaga ugali wasijisahaulishe mambo ya MKIRU ambapo askari walikuwa wanauawa ,wasidhani iliibuka tu ghafla au issue ya hamza ,ni chuki za muda ambazo askari waliwatengenezea.

Askari wa bongo wanajiona wapo juu ya sheria na hawawezi kuguswa kwa kitu chochote ndiyo maana wanafanya mambo ya kikatili hadi unashangaa ,zombe aliua wafanyabiashara wanne wa madini tena ndugu kisa milioni 250 na madini.

"Huu ni mtazamo wangu masela msijenge chuki" - Afande Sele.
 
Waulize Police kwanini wametoa onyo na tahadhari kwa ubaya wowote utakao fanyika dhidi ya familia za askari waliotajwa majina kuwa walikuwa wanamtafuta mdude
OK, wamefanya nn mpaka sasa?
 
OK, wamefanya nn mpaka sasa?
Police wanafahamu akili za watu wa Mbeya sio kama za watu wa Dar.. Kwaiyo wanajihami wbaelewa balaa lao. Watu wa kule hawajui kucheka na nyani. Na ukifuatilia sana hata wachokonizi wa mambo wengi wana asili ya huu mkoa..
 
nadhani ni muhimu zaidi kua wakweli,
Mbeya ni vinara wa kulima mchele bora zaidi nchini na maharagwe matamu mno, na hakuna ubishi kwamba kiporo cha wali wa mchele na maharagwe ya Mbeya ni moto wa kuotea mbali kote nchini.

kinyume na hapo ni porojo tu za kusifia waropokaji waliokosa heshima gentleman
 
Police wanafahamu akili za watu wa Mbeya sio kama za watu wa Dar.. Kwaiyo wanajihami wbaelewa balaa lao. Watu wa kule hawajui kucheka na nyani. Na ukifuatilia sana hata wachokonizi wa mambo wengi wana asili ya huu mkoa..
Wabongo n Wabongo tuu, hakuna cha mtu wa Mbeya wala Dar. Wabongo asili yetu n upumbavu tuu.
Kwan hakujawah kuwa na onyo kama hizo huko Dar?
 
Mbeya ni wanafiki na wala hawana ushujaaa ,waoga angalau fanyeni zile vurugu kama za Mtwara ...Hawana huo ubavu ..

Mtu wa kuitoa CCM ilikuwa ni ile CUF wazee wa ambush ila walichina kwa kipigo enzi za Mkapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…