Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

You wish!
Niliwaeleza kuwa huyu binti atakua single mother. Single mothers huwa wanahasira sana kwenye mahusiano.

Mimi hayo yamenikuta ndio sababu naongea kwa ujasiri mkuu.

Ukimtizama huyo binti ni mrembo sana, mabinti wa hivyo sio rahisi kuyumbishwa kwenye mahusiano kiasi cha kutoa uhai. Na usisahau umri wake ni 19 yrs.

Mimi nilitegemea labda huyo kijana ndio aue kwasababu ya wivu wa mapenzi.

Kesi za wanawake kuua wenza wao maranyingi tunazisikia kwenye ndoa tu. Hivyo hili limekua ni jambo la kushangaza sana kwa huyu mrembo.

Inaonekana labda anaona thamani yake ilishashuka. Kama angelikuwa nayo nadhani angeswitch kwa mwanamme mwingine haraka sana
 
Vijana wadogo wanajiingiza kwenye mapenzi ili hali roho ya kuvumilia mikiki yake hawawezi nawapa pole
 
Naskiza Access FM asaiv hapa maana nipo Mbeya! Inavyosemekana ni kua dogo alikutana na huyo Demu FB wakaanza online dating, baadae dogo akamvuta binti from Dar to Mbeya ndo wakawa wanaishi kama mtu na mke, Demu alidaka sms za mchizi za mademu wengine ndio chanzo cha ugomvi wao...
 
Huyo binti n kabila gani...?
 
 
Daahhh online dating hiziii na hapo wazazi sijui wapo katika hali gani .

Jamaa alale mahali anapostahili
 
Hawa watoto laiti wangejua mzazi anashindwa hata kununua nguo ya ndani ili wao wasome halafu wanaenda kuleta shida nyingine kubwa hivi.

Mzazi anaanza kuhangaika na kesi sasa.

Nashangaa mnasema wasiende jkt,

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na JKT, kuna watu wameenda hadi JWTZ na bado kesi zao utazisikia.
Tatizo ni ujana tu na kutokukubali kuwa baadhi hawana maturity ya ku_handle mahusiano mfano huyo aliyeua
 
Utoto tu unawasumbua. Apate mwanasheria, Ataenda jela muda mfupi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…