Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Huenda jamaa alikuwa anakakojoza kisawa sawaaaa... na hivi bado hakaja komaa... na miki miki kakaona kakiachwa nani atakakojoza tena.. lakini nyuma yake kuna mystery
Ataenda kukojozwa huko gerezan Sasa
 
Mademu wanaopenda kiasi hicho kumbe bado wapo........ Hawa ndio mademu, demu anaye hakikisha ni hadi kifo kiwatenganishe....
Kwani unajuaje ugomvi ulianzaje, ulikuwaje?
Je, kama mwanaume ndiyo alikuwa na wivu akamshambulia mwanamke nae katika kujilinda akatumia kitu chenye ncha kali?

NB: Sijui ugomvi ulikuwaje.
 
Sina neno zaidi ya kumtakia mrembo kifungo chema chenye baraka tele...na jamaa alale salama mahali pema peponi maana mzigo wa dhambi umebakia kwa demu.

Tatizo braza Yale mapenzi ya kuanzia sekondari huwa hayatoboagi chuoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amen.[emoji1787]
 
Ayo majuto atakayoyapata uyo binti, Kwanza ameshajitia doa la roho kwa kuutoa uhai wa bnadamu, pili ameharibu maisha yake maana jela inamhusu na tatu kampoteza mpenzi mazima..

R.I.P.

vija a mkasome wazazi wenu wanazitafuta ada kwa tabu sana uku mtaani
 
Yaani.... halafu anatumia dawa za mvuto. Najiuliza alijifunza kwa wanaume gani hayo mambo? Inafikirisha😎😎
Aisee ilitakiwa akaonyeshe aliyempa hao ndio wana waharibu watoto!
 
Kwani unajuaje ugomvi ulianzaje, ulikuwaje?
Je, kama mwanaume ndiyo alikuwa na wivu akamshambulia mwanamke nae katika kujilinda akatumia kitu chenye ncha kali?

NB: Sijui ugomvi ulikuwaje.
Haiwezekani. Angekuwa mwanaume ndie mkorofi basi mwanamke angechomwa na magunia mawili ya mkaa.
 
Haya ni "mapenzi ya hatari" niliyokuwa nayasikia katika kipindi kimoja huko kwenye redio Sauti ya Kenya miaka ya 1970. Kilikuwa maarufu sana na Wahenga wanalijua hilo.
 
Yagaaa,niliye naye ana kasoro,mapenzi kibiriti washa mie sabuni yeye JIKI.
===========================================================

Demu ametoka Dar na kwenda MUST kwa Mbebe wake akaenda kumpa kitu chenye ncha kali.....Huenda Msela alimuahadi mambo mengi sana ya kuoana na huyo mbebe lakini inaonekana alivyofika shule akaanzisha uhusiano mwingine na kuanza kumpotezea Suzy ,naona Suzy akatoka DIZIM na kwenda Mbeya na kukuta mwamba ana Demu mwingine akaona bora wagawane majengo ya serikali.
 
Back
Top Bottom